Pangani FM

KIFO

5 June 2025, 7:00 pm

   Dereva afariki kwa ajali ya gari babati

Na George Augustino. kijana aliyefahamika kwa jina moja maarufu la digidigi (48) amefariki dunia katika ajali ya gari la mizigo iliyotokea leo majira ya saa tano asubuhi katika daraja linalounganisha kijiji cha orongadida na kijiji cha majengo vilivyopo katika kata…

22 May 2025, 2:02 pm

Wananchi Maswa watoa kilio kwa DC  Anney

Migogoro mingi ya Wanandoa inasababishwa na kutokuandika Wosia inapotokea mume amefariki Dunia ndugu wa mwanaume wanakuja juu na kumdhurumu mali mjane aliyeachwa na marehemu wakati mali hizo wamezitafuta wawili hao. ” Dc Dkt Vicent Anney “ Wananchi  wa  kata  za …

21 May 2025, 4:02 pm

Katakata ya umeme Simiyu yawaibua wananchi

‘‘Tunahitaji nishati ya umeme ya kutosha mahitaji yetu ni kweli juhudi ni kubwa sana zinazofanywa na kiongozi wetu mkuu wa nchi hii Rais ,Mhe,Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa kutosha ili waweze kuongeza uzalishaji mali na kujiongezea…

12 May 2025, 2:36 pm

Mwanamke na uongozi katika jamii za kifugaji

Jamii za kifugaji zimekuwa haziwapi nafasi wanawake ya kuwa viongozi kutokana na mfumo dume. Wengi wa wanajamii kutoka ndani ya jamii hiyo wakiwa na imani kwamba mwanamke hawezi kuongoza wanaume. Na Saitoti Saringe

21 March 2025, 15:39 pm

TAMWA yahamasisha wanawake kugombea nafasi za uongozi

Mwaka 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais ambapo kupitia mafunzo hayo yatawawezesha waandishi wa habari kupitia vipindi vyao kushawishi wanawake kuingia katika kinyanyiro cha uchaguzi. Na Mwanaidi Kopakopa Leo tarehe 21 Machi 2025, Chama cha…

19 March 2025, 5:13 pm

Ajali yaua watatu na kujeruhi 15 Tunguu

Watu watatu wamefariki dunia na wengine kumi na tano (15) kujeruhiwa mara baada ya gari walokuwa wakisafiria kupata ajali huko Maeneo ya Tunguu Car wash. Akithibitisha kutokea ajali hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa…