Pangani FM

KIFO

23 July 2025, 22:45 pm

SDA yapongezwa kukuza sauti za mabinti Mtwara

Mradi wa Kuwawezesha Mabinti Kupaza Sauti umepongezwa kwa kuleta mabadiliko chanya kwa wasichana Mtwara kwa kuwaongezea ujasiri, sauti na ushiriki katika maamuzi muhimu. Awamu ya tatu imezinduliwa Julai 2025, ikilenga kufikia mabinti wengi zaidi na kushirikisha jamii kwa upana. Na…

July 8, 2025, 7:54 pm

RC Sirro aitaka Kasulu kutenga maeneo ya uwekezaji

Balozi Sirro amezitaka halmashauri za wilaya ya Kasulu kufanya kazi kwa ushirikiano kubuni vyanzo vya utalii ambavyo vitasaidia kuongeza fedha za kigeni. Na Michael Mpunije- Kasulu, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka watumishi wa Umma wilayani…

8 July 2025, 1:02 pm

Ukatili wa kijinsia bado changamoto katika jamii

Picha kwa msaada wa mtandao Na habari Dorcas charles Katika kukabiliana na ongezeko la matukio ya ukatili dhidi ya watoto na wanawake baadhi ya wananchi wameanza kuchukuwa hatua madhubuti kwa kuripoti visa hivyo. Joyce Elias Katika maeneo mengi nchini ukatili…

3 July 2025, 19:38

Mume amuua mke kisa wivu wa mapenzi Mbeya

Kujichukulia sheria ni kosa la jina kwa mjibu wa sheria za nchi,na ndio maana wasimamizi wa sheria wamekuwa wakisisitiza wanapobaini uwepo wa waharifu kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Na Hobokela Lwinga Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Neema Jonas Mkazi…

3 July 2025, 11:24

TANESCO: Mradi wa umeme megawati 49.5 upo 10%

Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limeendelea kuhakikisha linafikisha huduma ya umeme kwa wananchi Na Emmanuel Matinde Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limesema kazi ya utekelezaji wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Megawati 49.5 katika Mto Malagarasi wilayani Uvinza mkoani Kigoma,…

23 June 2025, 4:09 PM

MANAWASA yakaribia kupata ufumbuzi kero mgao wa maji Masasi

“Kutokana  na  ongezeko  la  wateja  wanaohitaji  huduma ya  maji kupitia MANAWASA, kumesababisha  chanzo chetu kuzidiwa  hivyo  kulazimika  kuwa  na  mgao  wa  maji ili kila  mteja  asikose  kabisa maji“ Na Neema Nandonde Mamlaka ya  maji safi  na usafi  wa  mazingira Masasi-Nachingwea…