Pangani FM

KIFO

7 June 2022, 1:46 pm

Halmashauri ya Pangani kugawa miche 544,000 ya Mkonge.

Halmashauri ya wilaya ya Pangani mkoani Tanga kupitia idara ya Kilimo imefanikiwa kukuza miche 544,000 ya zao la Mkonge. Akizungumza katika mahojiano na Pangani FM leo Afisa kilimo wa Halmashauri hiyo Bw. Ramadhani Zuberi amesema miche hiyo imekuzwa katika vitalu…

24 May 2022, 8:08 pm

Ubalozi wa Ireland wafanya ziara Pangani.

Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania jana umefika hapa wilayani Pangani Mkoani Tanga ili kujionea Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika la UZIKWASA ambalo linafadhiliwa na mpango maalum wa Serikali ya Ireland wa misaada ya maendeleo ya kimataifa [Irish Aid].    …

14 May 2022, 5:43 pm

Vikundi vya Pangani kunufaika na Uchumi wa Bluu

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje amesema wilaya imeanza kujiandaa kunufaika na sera ya uchumi wa blue kwa kuunda vikundi mbalimbali vinavyohusika na rasimimali za bahari. Akizungumza na Pangani Bwana Mbenje amesema kuwa tayari kwa wilaya…

18 August 2021, 1:30 pm

Ajinyonga kisa wivu wa mapenzi Pangani.

Kijana mmoja aliyefahamika kwa majina ya Amury Mwin-dadi mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Mikinguni Wilayani Pangani Mkoani Tanga ajinyonga kutokana na wivu wa kimapenzi. Mrakibu wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Pangani…