Nuru FM

Uchumi

May 8, 2025, 1:03 pm

Kambi za madaktari bingwa ziwe rasmi

Na Mwandishi wetuMadaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wa Rais Samia wamehitimisha kambi ya utoaji huduma za kibingwa katika halmashauri zote nane (8) za mkoa wa Kagera ambapo wananchi wameomba utaratibu huo kurasimishwa ili waendelee kuwapunguziwa gharama za matibabu. Wakihojiwa na…

7 May 2025, 4:53 pm

Zaidi ya bilioni 380 kuboresha afya Zanzibar

Na Mary Julius. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji amesema serikali ya awamu ya nane ya rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi dk Hussein Ali Mwinyi katika kipindi cha miaka 4 imewekeza zaidi…

May 2, 2025, 1:06 pm

Changamoto za Bonde la mto Nduruma fursa kwa wananchi

Takribani wananchi elfu kumi katika Kata ya Mbuguni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa wakipata athari mbalimbali ikiwemo kupoteza makazi na maisha ya watu kutokana na bonde la Mto Nduruma kujaa maji wameanza kupata ahueni baada ya bonde hilo kudabuliwa. Na…

24 April 2025, 6:43 pm

Jamii ishiriki kutokomeza malaria Zanzibar

Na Mary Jamii imetakiwa kuendelea kuzingatia njia za kujikinga na ugonjwa wa malaria kwa kuchukua tahadhari ili kuepukana ugonjwa huo.Wito umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Amour Suleiman wakati wa maadhimisho ya siku ya malaria yaliyofanyika Nungwi…

April 24, 2025, 10:08 am

Athari za msongo wa mawazo kwa mjamzito

“Msongo wa Mawazo Humfanya Mama Mjamzito kushindwa kula Chakula Vizuri, Chakula ambacho ni Mhimu kwa matoto na inaweza sababisha mtoto kuzaliwa akiwa malemavu” Habibu Sasagale Na Sharifat Shinji Ripoti ya mwaka 2021 kupitia taasisi ya Centers for Disease Control and…

23 April 2025, 2:29 pm

Jamii ipewe elimu ya njia sahihi ya kusafisha sikio

Picha ya Gabriel Elias ni daktari kutoka kituo cha afya cha Town Clinic. Picha na Anna Mhina “Tupewe elimu ya njia sahihi ya kusafisha sikio” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa halmashauri ya manispaa ya wilaya ya Mpanda mkoani…

22 April 2025, 5:24 pm

Jamii yatakiwa kuunga mkono chanjo mpya ya polio

Na Mwandishi wetu. Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja  Ayoub Mohd Mahmoud  ameitaka jamii  kupokea mabadiliko ya ongezeko la dozi  ya  chanjo ya polio  kwa watoto    ili kuwakinga na ugonjwa huo ambao husabaisha ulemavu au  kufariki dunia . Ameyasema hayo…