Nuru FM
Uchumi
25 March 2022, 9:19 am
Umoja Wa Mataifa Waipatia Tanzania Dola Bilioni 1.85 Kusaidia Maendeleo Nchini
Taasisi ya Umoja wa Mataifa imeipatia Tanzania msaada wa jumla ya dola za Marekani bilioni 1.85 ambazo ni takribani shilingi trilioni 4.3, kwa ajili ya kutekeleza afua mbalimbali katika maeneo waliyokubaliana yakiwemo sekta ya maji, afya, elimu, kilimo na jinsia…
24 March 2022, 6:00 am
Siku 365 Za Mheshimiwa Rais Samia Zaweka Alama Ya Mafanikio Makubwa Katika Sekta…
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameweka alama kubwa ya mafanikio katika maendeleo ya sekta ya masoko ya mitaji katika kipindi cha siku 365 za uongozi wake. Akielezea mafanikio makubwa yaliyopatikana, Afisa Mtendaji Mkuu wa…