Nuru FM

Uchumi

22 February 2024, 7:41 pm

Serikali kuingiza Tani 300,000 za sukari

Na Mwandishi Wetu. WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kwa mwaka huu Serikali itaingiza nchini zaidi ya tani 300,000 za sukari ili kukabilana na upungufu uliopo. Amesema hadi kufikia Machi 15, 2024, tani 60,000 za sukari zitakuwa zimeingizwa nchini na…

5 April 2022, 9:08 am

Utafiti wa Gesi ya Heliam kuanza Tanzania

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameshuhudia utiaji Saini Mkataba wa Utafiti wa Gesi ya Heliam kati ya Kampuni ya Noble Helium Limited kupitia Kampuni yake Tanzu ya Rocket Tanzania Limited na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa…

29 March 2022, 4:01 pm

Serikali Yaleta Mfumo Mpya Kwa Mashirika, Viwanda Vilivyobinafsishwa

SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina inakamilisha mfumo rahisi wa kupokea na kutunza kumbukumbu za Mashirika ya Umma na Viwanda vilivyobinafsishwa unaoitwa Ubinafsishaji Information System ili kuweza kufuatilia mafanikio na changamoto za mashirika na viwanda hivyo. Hayo yamesemwa na…