Nuru FM

Uchumi

14 May 2024, 7:50 pm

RC Serukamba: Taasisi za umma jiungeni na mfumo wa ‘NeST’

Mfumo mpya wa manunuzi utakuwa chachu ya kuongeza uwajibikaji kwa watumishi wa umma pindi wanapofanya manunuzi ya mali za umma. Na Godfrey Mengele Mkuu wa Mkoa wa Iringa ,Peter Serukamba ameziagiza Taasisi za umma Mkoani Iringa ambazo hazijaanza kutumia mfumo…

19 April 2024, 11:06 am

Uvccm Iringa wapongeza kurejeshwa kwa mikopo ya asilimia 10

Mikopo ya asilimia 10 inawanufaisha vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu katika shughuli za kiuchumi. Na Adelphina Kutika Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassani kwa kurejesha tena utoaji…

12 April 2024, 10:01 am

Mafinga mji kuongeza ukusanyaji mapato

Licha ya Mafinga kuwa kinara katika ukusanyaji wa mapato, Bado Viongozi wa Halmashauri hiyo wamekuwa mstari wa mbele kupata Elimu namna ya kuboresha ukusanyaji wa mapato. Na Hafidh Ally & Sima Bingilek Halmashauri ya Mji Mafinga imepanga kuongeza kasi katika…

3 April 2024, 9:39 am

TRA kutumia mbio za mwenge kutoa elimu ya kodi

Uwepo wa Mwenge unasaidia kuwakutanisha watu wa kada mbalimbali ambao wanatakiwa kupatiwa elimu ya kodi ili kuongeza fedha za kukuza miradi ya maendeleo. Na Mwandishi wetu. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imejipanga kutoa elimu ya kodi kusikilza changamoto na…

28 March 2024, 12:51 pm

Ng’ombe 547 wakamatwa  katika Hifadhi ya Taifa Ruaha

Wahifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Mkoani Iringa wameeleza kukaniliana na changamoto kwa wanaochunga mifugo yao hifadhini. Na Mwandishi wetu Ng’ombe 547 wamekamatwa wakichungwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kinyume cha sheria, huku wachungaji wakikimbia na kuitelekeza…

23 March 2024, 10:56 am

Tembo wavamia mashamba Ruaha Mbuyuni

Uwepo wa tembo katika kijiji cha Mtandika umetajwa kuwa kero kwani wamewasababishia hasara ya kuharibu mazao yao. Na Adelphina Kutika. WAKAZI wa Kijiji cha Mtandika kata ya Ruaha Mbuyuni wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wameiomba serikali kuwaondoa Tembo wanaovamia mashamba…

This image has an empty alt attribute; its file name is gg-1024x682.jpg

21 March 2024, 10:19 am

Watendaji manispaa ya Iringa waagizwa kutatua kero za machinga

Changamoto za machinga zinatakiwa kutatuliwa ili kukuza uchumi wa mkoa wa Iringa Na Joyce Buganda Watendaji wa halmashauri ya manispaa ya Iringa wameagizwa kushirikiana kutatua tatizo la machinga  ili kuleta maendeleo ya mkoa. Agizo hilo amelitoa leo mkuu wa Mkoa…

21 March 2024, 9:48 am

DC Kheri aagiza ukarabati wa soko kuu Iringa

Siku chache baada ya soko kuu la Iringa kuruhusiwa kufanya biashara mpaka saa nne usiku, Mkuu wa Wilaya ya Iringa ameagiza utekelezaji wa kukarabati miundombinu ya soko hilo. Na Mwandishi wetu. Mkuu wa wilaya ya Iringa Kheri James ameilekeza Halmashauri…

16 March 2024, 10:50 am

Mil 57 za Regrow zawanufaisha wakulima wa Tungamalenga

Mradi wa REGROW katika Hifadhi ya Taifa Ruaha umevinufaisha vijiji zaidi ya 84 vinavyoizunguka hifadhi hiyo kwa kutoa zaidi shilingi milioni 820. Na Joyce Buganda Wakazi wa kijiji cha Tungamalenga kilichopo katika tarafa ya Idodi wilayani Iringa wameishukuru serikali kwa…