Nuru FM

Uchumi

14 March 2024, 11:35 am

Regrow kuwanufaisha wakulima Madibira

Mradi wa umwagiliaji Kata ya Madibira unawawezesha wakulima kulima mpunga kwa uhakika wa kupata mavuno wanayotarajia. Na Joyce Buganda Wakulima wa Mpunga Kata ya Madibira wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wameishukuru Serikali ya Rais wa Awamu ya Sita chini ya…

14 March 2024, 10:48 am

Soko kuu Iringa kufanya kazi mpaka saa nne usiku

Kitendo cha wafanyabiashara wa soko kuu la Iringa mjini kuruhusiwa kufanya biashara zao mpaka saa nne usiku kimeonekana kuwa msaada kwa wananchi wanaotaka huduma hizo. Na Azory Orema Licha ya soko kuu Manispaa ya Iringa kuruhusiwa kufanya biashara mpaka saa…

13 March 2024, 9:32 pm

Madereva daladala Iringa wagoma tena

Serikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya muda mrefu ya Madereva wa Daladala ambayo yamekuwa kero kwa watumiaji. Na Azory Orema Wananchi wanaotumia usafiri wa daladala Manispaa ya Iringa wamelalamikia ugumu wa usafiri wao baada ya daladala zinazopakia abiria kugoma kufanya…

12 March 2024, 11:01 am

TAKUKURU kufuatilia matumizi ya milion 10 Iringa

Matumizi ya zaidi ya Milioni 60 katika ujenzi wa stendi ya mabasi ya Igumbilo yamemuibua Mstahiki Meya Manispaa ya Iringa kujua uhalali wa Matumizi. Na Godfrey Mengele Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ibrahim Ngwada amelazimika kuiagiza mamlaka…

7 March 2024, 3:29 pm

Wafanyabiashara Kihesa waomba wakarabatiwe soko

Licha ya Viongozi Kutoa ahadi kuhusu ukarabati wa Soko hilo lakini utekelezaji wake umekuwa Mgumu. Na Godfrey Mengele Wafanyabiashara wa soko la Kihesa maarufu kama kihesa sokoni lililopo halmashauri ya Manispaa ya Iringa wameitaka serikali kuwajengea soko lenye hadhi ya…

5 March 2024, 8:40 pm

Kihenzile awaita wawekezaji usafiri wa reli

Na Mwandishi wetu Wawekezaji wameshauriwa kujitokeza kwa wingi kuwekeza katika usafiri wa reli hapa nchini. Wito huo umetolewa  mkoani Mwanza na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ambaye ni Mbunge wa Mufindi Kusini wakati alipokuwa akizindua jukwaa la uwekezaji la…

5 March 2024, 8:57 am

Iringa yaunda kamati kutatua changamoto za machinga

Na Hafidh Ally Mkoa wa Iringa umeunda kamati ndogo itakayofanya kazi siku saba kushughulikia ombi la wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga la kuwaruhusu wanawake kufanya shughuli zao katika eneo la mashine tatu muda wa jioni. Mkuu wa mkoa huo Halima Dendego…

27 February 2024, 9:36 pm

Serikali kudhibiti mfumko wa bei

Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema mfumko wa bei nchini umeendelea kudhibitiwa ambapo kwa kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2023 ulifikia wastani wa asilimia 3.2, kiwango ambacho kipo ndani ya lengo la kati ya asilimia…

22 February 2024, 7:46 pm

PSSSF yapewa siku 100 kukamilisha ujenzi kiwanda cha ngozi

Na Mwandishi wetu KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja ametoa siku 100 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Wafanyakazi wa Umma (PSSSF)  Abdul-Razaq Badru kuhakikisha awamu ya…