Nuru FM

Habari za Iringa

26 April 2024, 9:58 am

Wananchi Kiwele waomba Josho la kuogeshea mifugo

Kuogesha mifugo ni muhimu sana kwani husaidia katika kudhibiti wadudu wanaosababisha magonjwa. Na Joyce Buganda Wananchi wa Kata ya Kiwele iliyopo jimbo la Kalenga  Mkoani  Iringa wanakumbana na changamoto ya ukosefu wa josho jambo linalopelekea kutembea umbali mrefu kwenda kuogesha…

25 April 2024, 9:50 am

Mbunge Nyamoga aanza ziara Kilolo, barabara yawa kero kubwa

Mvua zinazoendelea kunyesha hapa Nchini zimesababisha uharibifu katika Barabara hasa eneo la Katika jimbo la Kilolo Mkoani Iringa. Na Mwandishi wetu Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mkoani Iringa Justin Nyamoga amefanya ziara ya kutembelea barabara zilizopo katika Kijiji cha Lulindi…

23 April 2024, 10:12 am

RC Serukamba agoma kukagua miradi

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba ameagiza kufanyika ukaguzi wa miradi ambayo haitekelezwi na kujua changamoto inayokwamisha utekezaji wake. Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba amekataa kuendelea na ziara ya kukagua miradi isiyo na changamoto…

22 April 2024, 10:39 am

Barabara ya Mafinga- Mtwango yatengenezwa

Kukarabatiwa kwa Barabara ya Mafinga- Mtwango ambayo imekuwa ikitumiwa na wakazi wa eneo hilo katika shughuli za kiuchumi imekuwa mkombozi. Na Tumain Msowoya Serikali imenza kutengeneza Eneo la Barabara ya Mafinga – Mtwango lililokuwa na utelezi hadi kusababisha magari kukwama…

19 April 2024, 11:06 am

Uvccm Iringa wapongeza kurejeshwa kwa mikopo ya asilimia 10

Mikopo ya asilimia 10 inawanufaisha vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu katika shughuli za kiuchumi. Na Adelphina Kutika Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassani kwa kurejesha tena utoaji…

16 April 2024, 10:14 am

Wananchi wa Wangama Iringa wanakabiliwa na adha ya usafiri

Licha ya serikali kuweka kipaumbele katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, dado wananchi wa Kijiji cha Wangama wanakabiliwa na changamoto ya usafiri. Na Fabiola Bosco Wananchi wa kijiji cha Wangama kata ya Luhota halmashauri ya wilaya ya Iringa wanakabiliwa na…

16 April 2024, 10:09 am

Madaktari bingwa kutoka JKCI kuweka kambi Iringa

Serikali imefanya jitihada za kukabiliana na Magonjwa yasiyoambukiza kwa kuwaleta wataalamu kutoka Taasisi ya JKCI Mkoani Iringa kuweka Kambi ya kuwahudumia wakazi wa Mkoa huu. Na Adelphina Kutika MAMIA ya Wananchi kutoka maeneo mbalimbali mkoani Iringa  wamejitokeza kwa wingi kwenye…