Mpanda FM

MAENDELEO

26 September 2025, 14:59

Umuhimu wa uzazi wa mpango, ushiriki wa wanaume Kigoma

Uzazi wa mpango ni moja ya nyenzo muhimu katika kuimarisha afya ya jamii, kukuza ustawi wa familia na kuchochea maendeleo kiuchumi. Huu ni mchakato unaowezesha wanandoa au watu binafsi kupanga idadi ya watoto wanaotaka kuwapata, muda wa kuwapata na nafasi…

18 September 2025, 12:23 pm

Wananchi watakiwa kutumia bidhaa za ndani

Kutumia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini itapelekea kukuza uchumi Na Adelphina Kutika Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kutumia bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani, ili kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la taifa. Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa…

16/09/2025, 18:02

Skauti mashuleni, njia ya kukuza uzalendo kwa vijana

Na wilaya ya Kati. Mkuu wa wilaya ya kati Rajab Ali Rajab, amewataka walimu katika Wilaya ya hiyo kuanzisha vyama vya Skauti katika skuli zao ili kuwajenga wanafunzi kuwa wazalendo, wenye maadili na kuwasaidia kuwa raia wema wa baadaye. Akizungumza…

13 September 2025, 9:04 am

TRA Iringa yazindua dawati la uwezeshaji biashara

Dawati hilo lina lengo la kuboresha uhusiano kati ya TRA na wafanyabiashara. Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imezindua Dawati Maalumu la Uwezeshaji Biashara, hatua inayolenga kuboresha mahusiano kati ya serikali na wafanyabiashara sambamba na…

11 September 2025, 6:05 pm

Hai waombwa kujitokeza kumpokea Dkt. Nchimbi

Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kuhutubia wananchi wa Hai, Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Hai Muhamed Msalu ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi. Na Elizabeth Noel & Henry keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wameombwa kujitokeza kwa…

9 September 2025, 11:47 am

Simulizi ya aliyeolewa akiwa na umri mdogo

“Nilienda kwa ndugu zangu, majirani wao wakaona ni kitu cha kawaida sana….yaani naumia, naumia nikikaa ndani ndio hivyo naliaa najiona kabisa maisha yangu yamefika mwisho, ndoto yangu ilikuwa niwe daktari”

8 September 2025, 2:49 pm

Vijana washauriwa kuwa na maarifa kujiinua kiuchumi Katavi

“wako tayari kufanya kazi ya kilimo na ufugaji ili waweze kujiinua kiuchumi “ Na Anna Milanzi-Katavi Vijana manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameshauriwa kuhakikisha wanakuwa na maarifa ili waweze kutunza fedha na kujikwamua kiuchumi.Hayo yamejiri katika muendelezo wa mijadala ya…