Mpanda FM

MAENDELEO

30 July 2025, 12:20 pm

Sekta ya ngozi yatoa tumaini kwa maelfu ya vijana

Ili kuhimiza matumizi ya rasilimali ya bidhaa za ngozi, Katibu wa Chama Cha Wazalishaji wa Bidhaa za Ngozi Tanzania, Timoth Funto, ametangaza kuanzishwa kwa mradi wa kutengeneza viatu vya ngozi milioni 10 vitakavyosambazwa katika skuli mbalimbali nchini. Na Mary Julius.…

20 July 2025, 10:35 am

“Wahariri kuweni makini katika kazi zenu”

“Ikiwa wahariri watasimamia vyema majukumu yao watasaidia kuondosha taarifa zinazopelekea migongano ndani ya jamii” Na Juma Haji. Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohhamed amewataka wahariri wa vyombo vya habari kuwa waangalifu juu ya maudhui wanayochapisha ili…

12 July 2025, 12:12 pm

Moto watekekeza soko la mashine tatu Iringa

Moto huo ulizuka majira ya saa 8 usiku ambapo mali mbalimbali za wafanyabiashara zikiteketea na kusababisha hasara. Na Ayoub Sanga Wafanyabiashara wa Soko la Mashine Tatu, lililoko katikati ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, wamejikuta katika majonzi makubwa baada ya…

5 July 2025, 9:05 pm

Vyama vya ushirika vyachangia ukuaji wa uchumi Zanzibar

Serikali ya Mapinuzi ya Zanzibar imejipanga kufanya mageuzi kwenye Sekta ya Ushirika ili kuhakikisha inavijenga Vyama vya Ushirika kuwa imara, endelevu na vyenye kutoa tija kwa Wanachama wake. Na Mary Julius. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imedhamiria kuendeleza juhudi…

3 July 2025, 19:38

Mume amuua mke kisa wivu wa mapenzi Mbeya

Kujichukulia sheria ni kosa la jina kwa mjibu wa sheria za nchi,na ndio maana wasimamizi wa sheria wamekuwa wakisisitiza wanapobaini uwepo wa waharifu kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Na Hobokela Lwinga Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Neema Jonas Mkazi…