Mpanda FM

MAENDELEO

1 May 2025, 1:30 pm

Madiwani Tanganyika wamtaka mkurugenzi kutatua changamoto

Picha ya baraza la madiwani Tanganyika. Picha na Beny Gadau “Tumemuondoa daktari wa Mchangani amekuwa na uwajibikaji hafifu” Na Beny Gadu Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Tanganyika wamefanya kikao cha robo ya kwanza kwa mwaka 2025 chenye lengo…

29 April 2025, 1:12 pm

Namba za NIDA 2019 – 2023 kufutiwa usajili

Picha ya Afisa NIDA Katavi Mauna Karumbeta. Picha na Samwel Mbugi “Namba zinaenda kufutiwa usajili ni zile  zilizotumiwa ujumbe” Na Samwel Mbugi Baadhi ya wananchi mkoani Katavi wametoa maoni mseto kuhusiana na zoezi la kufutiwa usajili wa namba za nida…

28 April 2025, 14:56

Watoto 14 wenye utapiamlo wapatiwa dawa lishe Kigoma

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha tatizo la utapiamlo linaisha kwa watoto. Na Josephine Kiravu Watoto wenye umri chini miaka 5 wapatao 14 ambao wamegundulika kuwa na utapiamlo wamepatiwa dawa lishe ikiwemo maziwa na karanga vyenye thamani…

April 24, 2025, 11:40 pm

Baptist ataja manufaa ya redio za kijamii

Baptist ameeleza faida za mtandao wa redio za kijamii zinavyonufaisha vituo vya redio na wafanyakazi wake. Na Sharifat Shinji Mwenyekiti wa Mtandao wa Redio za Kijamii Tanzania (TADIO) Ndg. Baptist John amewataka wanachama wa redio za kijamii nchini kuendelea kufanya…

19 April 2025, 13:19

Mchungaji auawa kwa kudaiwa kumloga katekista Mbeya

Dunia ina mambo kila inapaoitwa leo matukio ya mauaji yamezidi kuongezeka. Na Ezekiel Kamanga Mchungaji Golden Ngumbuke(66)wa Kanisa la Pentecoast Evengelical Fellowship Africa(PEFA)la Iganzo Jijini Mbeya ameuawa nje ya nyumba yake Mtaa wa Mwafute Kata ya Ilemi na wananchi waliojichukulia…

18 April 2025, 5:10 pm

TCCIA Kilolo yaja na maonyesho Ya kilimo Na biashara mwezi Mei

Na Joyce Buganda Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo TCCIA imeandaa maonesho ya Biashara, viwanda na kilimo yatakayofanyika Wilayani Kilolo Mkoani Iringa kuanzia Mei 21 hadi Mei 25, 2025 yakilenga kuwapatia nafasi wahusika wa sekta hizo kuonesha shughuli wanazozifanya ili…