Mazingira FM
Mazingira FM
12 January 2026, 12:50 pm
“Kufuga mifugo siyo kufungo tunataka kuwaona wafugaji waone faida ya kuitwa mfugaji lazima sasa tutoke huko tuanze kufuga kwa tija ili waweze kuendesha maisha yao mazuri na familia zao ikiwemo elimu nzuri kwa watoto wao ,makazi mazuri .” Na,Daniel Manyanga …
9 January 2026, 12:11 pm
“Kimsingi zoezi la kuandikisha wanafunzi linaendelea hadi Marchi 31, 2026 kwa mujibu wa mwongozo wa serikali kupitia wizara ya elimu” – Mwalimu Mtweve Na: Ester Mabula Afisa elimu mkoa wa Geita Mwalimu Antony Mtweve amewahimiza wazazi na walezi kuendelea kujitokeza…
January 5, 2026, 6:39 pm
Ni mafunzo ya mfumo wa School Information System. Na Devi Moses JUMLA ya walimu 110 kutoka Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wameshiriki mafunzo ya matumizi ya mfumo wa School Information System (SIS) yaliyofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari Vwawa Day. Mafunzo hayo…
5 January 2026, 16:00 pm
Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na wachangiaji bora wa vipindi vyake kwa mwaka 2025. Washindi walichaguliwa na wasikilizaji kupitia SMS na kukabidhiwa tuzo katika hafla iliyofanyika katika studio za kituo hicho Na Musa Mtepa Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na…
27 December 2025, 4:57 am
“Kila mwaka zoezi la uandikishaji huanza mwezi Septemba na kukamilika tarehe 31, marchi ili kutoa nafasi kwa wazazi na walezi kuandikisha watoto wao” – Afisa elimu mkoa wa Geita Na: Ester Mabula Afisa elimu mkoa wa Geita Mwalimu Antony Mtweve…
9 December 2025, 12:25 pm
Afisa wa TASA, imeitaka jamii kutenga muda wa kufikiria na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro, ikisisitiza kuepuka hisia na kutoegemea upande wowote Na Musa Mtepa Jamii imetakiwa kutenga muda wa kufikiria, kuchakata na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro…
11 September 2025, 8:36 pm
Maadhimisho hayo ya 14 yanatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 12 hadi Septemba 15, 2025, katika Viwanja vya Mwenge, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara. Na Thomas Masalu Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi wa Mkoa wa Mara na…
9 September 2025, 09:44
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amesema mwenge wa uhuru utetembelea na kuweka jiwe la msingi katika miradi ya maendeleo utakapowasili Wilayani humo Na Hagai Ruyagila Wananchi wilayani ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika…
24 July 2025, 11:04 am
Masanja akiwa amekabidhiwa fomu ya kugombea ubunge. Picha na Benny Gadau “Jimbo la Mpanda mjini ni jimbo la wanamageuzi” Na Benny Gadau Kamishna wa kanda maalum ya magharibi wa Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Masanja Musa Katambi amechukua fomu…
23 July 2025, 12:35 pm
Omari Bakari Hidobelele (35), mkazi wa Madangwa, Lindi, amekutwa amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali. Polisi wamesema marehemu alikuwa na msongo wa mawazo. Familia imeshangazwa na tukio hilo, ikieleza kuwa hakuwa na matatizo yoyote. Polisi wamehimiza jamii kusaidia wenye changamoto…