Mazingira FM

kijamii

19 February 2024, 11:26 am

Nyatwali mbioni kulipwa

Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amelihakikishia baraza la madiwa la mji wa Bunda kuwa taratibu za kuwalipa wakazi wa Nyatwali zipo ukingoni na muda wowote kutoka sasa wakazi hao wataanza kulipwa. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya…

3 February 2022, 8:17 am

Tembo waua tena wawili na kujeruhi mmoja Bunda

Watu wawili wamepoteza maisha na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya kushambuliwa na tembo wakati wakijaribu kuwafukuza tembo waliokuwa wamevamia makazi ya watu katika mtaa wa Bushigwamala kata ya Guta, Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumzia tukio hilo mwenyekiti wa mtaa…