Mazingira FM

kijamii

20 April 2021, 11:31 am

Kiboko; Wanaotumia TASAF kulewa kukiona

Diwani wa kata ya Nyasura Magigi Samwel Kiboko amewataka wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini yaani TASAF kutumia fedha hizo kwa malengo yaliyokusudiwa. akizungumza na Mazingira kwenye ofisi ya mtendaji kata ya Nyasura Kiboko amesema kwa upande wa wale…

16 April 2021, 7:25 pm

Dc Bupilipili ; awapongeza wakulima wa pamba

 Mkuu wa wilaya ya Bunda Mwl Lydia Bupilipili amewapongeza wakulima wa zao la Pamba wilaya ya Bunda mkoani Mara  kwa kuzingatia kilimo bora na chenye tija. Dc Bupilipili ametoa pongezi hizo leo tarehe 15 mwezi wa 4 alipofanya ziara ya…

16 April 2021, 6:54 pm

Milion 7 kujenga choo genge la jioni Bunda

Mwenyekiti wa wajasiliamali mkoa wa mara Charles Waitara amewashukuru Mbunge wa Bunda Mjini Robert chacha maboto, Diwani wa Bunda Mjini pamoja na Mkurungenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kuadhimia kujenga choo eneo la genge la jioni Waitara ameyasema…

15 April 2021, 10:35 am

Dc Bunda: fanyeni usafi msisubiri mashindano

Mheshimiwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mwal Lydia Bupilipili amewataka wananchi kuendelea kujenga tabia ya kufanya usafi katika maeneo yao na siyo mpaka wasubiri kusukumwa ama kusubili mashindano. Rai hiyo ameitoa leo wakati akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake…

14 April 2021, 8:09 am

Waliokimbia ukeketaji Mara waendelea na maisha

Katika mila za kikurya, kizanaki na kiikizu  mkoani Mara moja ya Mila yao kubwa ilikuwa ni ukeketaji huku sababu kuu ikielezwa kuwa ni kutengeneza nidhamu miongoni mwa wanawake huku bila kutathmini madhara yanayoweza kujitokeza kwa wanawake pindi wanapofanyiwa kitendo hicho cha…

8 April 2021, 4:52 pm

Ukeketaji bado ni tishio kwa mabinti

Moja kati ya mila na desturi za Wakurya  mkoani Mara ilikuwa ni ukeketaji kwa kiasi kikubwa madhara ya ukeketaji yalikuwa hayafichuliwi  kutokana unyeti wa suala hilo. Rhoda Komanchi mkazi wa Bunda Balili anaeleza kuhusu hatari iliyotokea kwa watoto wake wawili…