kijamii
6 July 2021, 6:35 pm
Dampo lawa kero kwa wakazi wa Migungani kata ya Bunda stoo
By Adelinus Banenwa Wananchi wa mtaa wa Migungani kata ya Bunda stoo Halmashauri ya Mji wa Bunda wameiomba serikali kuhamisha dampo la Migungani kutokana na kero kubwa wanazozipata Hayo wameyasema leo july 5, katika eneo la dampo la maji taka…
2 July 2021, 1:15 pm
Diwan wa kata ya Neruma wilayani Bunda kupitia CCM afariki dunia
by Adelinus Banenwa Diwani wa kata ya Neruma Mh. Alfred Maungo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi Akizungumza na Mazingira fm Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mh. Charles Manunbu amethibitisha kifo cha diwani huyo huku taarifa…
21 June 2021, 9:53 am
TGNP wagawa Radio 100 kwa wananchi wa kata ya Nyambureti Wilayani Serengeti.
By Edward Lucas. Wananchi wa Kata ya Nyambureti, Wilayani serengeti Mkoani Mara, wamelipongeza Shirika la Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP kwa kuwapa msaada wa radio kwa akinamama na wasichana waiishio kwenye mazingira magumu. Wakizungumza baada ya zoezi hilo la ugawaji…
21 June 2021, 9:26 am
Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na Nyati
By Edward Lucas Kijana aitwaye Magesa Magori (21) mkazi wa Mtaa wa Tamau, Kata ya Nyatwali Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara anusurika kifo baada ya kuvamiwa na mnyama nyati wakati akiwa anachunga ng’ombe maeneo ya Tamau. Akisimulia tukio…
7 June 2021, 5:53 pm
Diwani wa bunda stoo atoa mifuko 5 ya saruji ujenzi wa choo shule ya miembeni
Diwani wa kata ya Bunda Stoo Flavian Chacha ametoa mifuko mitano ya saruji katika kuunga juhudi za wananchi za ujenzi wa choo cha shule ya msingi miembeni Katika ujumbe wake diwani huyo amesema ameona ni vyema kushiriki juhudi za wananchi…
18 May 2021, 6:03 pm
Wanyamapori waaribifu waendelea kuwatesa wananchi BUNDA
Wananchi wa migungani kata ya Bunda Stoo wilaya ya Bunda mkoani Mara wamelalamikia suala la wanyama pori waaribifu ikiwemo Tembo na Viboko kuwakatisha tamaa ya kujihusisha na kilimo Wakizungumza katika kikao cha diwani wa kata hiyo Flaviani chacha kilicholenga kusikiliza…
18 May 2021, 5:42 pm
Wananchi wa kata ya Hunyari Bunda kulipwa kifutajasho
Serikali kupitia wizara ya maliasili na utalii imetenga zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya kulipa kifuta jasho kwa wananchi waliofanyiwa uharibifu wa wanyamapori katika mashamba na makazi wanayoishi katika vijiji vitatu Mariwanda,Hunyari na Kihumbu vilivyopo Bunda Mkoani Mara…
10 May 2021, 8:23 am
Bonanza kwenda kutalii Bunda maelfu ya watu wajitokeza
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA AKIHAMASISHA UTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA WANYAMA PORI YA SERENGETI Hayo yamefanyika leo katika bonanza la michezo la Twende Kutalii Serengeti lililoandaliwa na TANAPA kwa kushirikiana na wadau wa utalii #Twendekutalii pamoja na #Mazingirafm katika viwanja…
27 April 2021, 6:05 am
Milion 80 kujenga madarasa manne kata ya Bunda stoo
Diwani wa kata ya bunda stoo Flaviani Chacha amewapongeza wadau wa maendeleo kwa kuendelea kujitolea katika kuisaidia serikali kutatua kero za wananchi Akizungumza na Redio Mazingira Fm April ,22/ 2021 Flavian amesema amepokea shilingi milion 80 kutoka kwa wadau wa…
20 April 2021, 12:26 pm
Charles; Marufuku watoto kufanya biashara kwenye masoko Mara
Mwenyekiti wa wajasiliamali mkoa wa Mara ndugu Charles Waitara amewataka wajasiliamali wote mkoa wa Mara kutojihusisha na kuwaajiri watoto katika maeneo ya biashara Kauli hiyo ameitoa April 19 2021 katika mkutano wa hadhara na wajasiliamali eneo la balili kona, lakini…