Mazingira FM

kijamii

20 January 2022, 10:31 am

Serengeti: Wamuua kikongwe kwa ahadi ya laki tano

Watu wanne akiwemo mwanamke mmoja wakazi wa kijiji cha Rigicha wanashikiliwa na Polisi wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya kikongwe kwa ahadi ya ujira wa sh500,000 wakimtuhumu kwa ushirikina. Hata hivyo taarifa za awali zinadai kwamba hadi wanakamatwa…

13 January 2022, 6:24 am

Watu 14 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano m

Watu 14 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano na abiria wa kawaida katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwa moja ni la abiria aina ya Toyota Hiace na jingine lenye namba za usajili STK 8140 mali ya Serikali lililokuwa limebeba waandishi wa…

12 December 2021, 1:51 pm

BUNDA – mwingine apoteza maisha kwa kuliwa na mamba

Bahati Galaya 32 mkazi wa Myatwali  kijana aliyeshikwa MAMBA eneo la Nyatwali mtaa wa Kariakoo Halmashauri ya Mji wa Bunda usiku wa kuamkia ijumaa ya tarehe 10 dec 2021 amepatikana akiwa amepoteza maisha Akizungumza na Redio mazingira fm mwenyekiti wa…