Karagwe FM

Uncategorized

19 December 2023, 8:32 pm

(KDU) LTD Kukusanya zaidi ya Sh. Mil 86 kwa Mwaka 2024

Karagwe Na David Geofrey Kayanga Duka la Ushirika (KDU) L.T.D inakusuduia kukusanya zaidi ya shilingi milioni 86 kutoka katika  vyanzo mbalimbali vya mapato kwa mwaka 2024 na kuendeleza miradi yao. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu…

2 December 2023, 10:58 pm

TUWAKA Saccos kukusanya zaidi TSh. mil. 507 mwaka 2024

TUWAKA SACCOS LTD (Tufaane Walimu Karagwe na Kyerwa) ni ushirika wa akiba na mikopo unaojengwa na walimu wote wa Karagwe na Kyerwa pamoja na wafanyakazi walioko chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri Na Ospicia Didace Kyerwa Mrajisi msaidizi wa vyama vya…

22 September 2023, 5:45 pm

Vyombo vya habari Kagera kuchochea miradi ya maendeleo

Mradi wa bomba la mafuta ni miongoni mwa miradi ya kimkakati inayotekelezwa na serikali unaohusisha nchi mbili kwa  maana ya Tanzania na Uganda hivyo waandishi wa habari hawana budi kueleza wananchi habari sahihi na kwa wakati juu ya mwenendo wa…

4 July 2023, 1:04 pm

28 wapigwa msasa kwa ajili ya Uokoaji

Jumla ya Askari 28 wa Jeshi la zimamoto na Uokoaji kutoka mikoa mbalimbali Nchini Tanzania wameshiriki mafunzo ya pamoja ili kujiongezea ujuzi utakaowasaidia wakati wa uokoaji yanapotokea majanga. Akifungua mafunzo hayo Nov 21 mwaka huu,Kamishina msaidizi mwandamizi Zabrune Levson Muhumha,Kamanda…

4 July 2023, 11:38 am

Jela miaka 30 kwa ubakaji wa mtoto

Mahakama ya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mahmoud Idi (54) mkulima mkazi wa kijiji cha Kigarama kata ya Kanyigo wilayani humo kwa kuthibitika pasipo na shaka kuwa alimbaka mtoto wa miaka minane kijijini hapo…

2 June 2023, 10:32 pm

Katibu CCM Karagwe: Leeni watoto kimaadili

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Karagwe Bw. Anathory Nshange amewataka wazazi na walezi kulea watoto wao katika maadili ya kitanzania na kiimani Bw. Nshange ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mahafali ya tano ya chuo cha Karaduce wilayani Karagwe…

2 June 2023, 10:17 pm

Homa ya marburg Kagera yatokomezwa

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameutangazia ulimwengu kuwa Kagera na Tanzania ni salama dhidi ya ugonjwa wa marburg na kwamba hakuna tena ugonjwa huo. Pamoja na hayo waziri Ummy pia amewashukuru watumishi wa wizara ya afya pamoja na mashirika ya…