Kahama FM

Recent posts

May 1, 2024, 4:36 pm

Nyumba 11 zabomoka kutokana na mvua kubwa,Kijiji cha Mwashimbai

Nyumba zilizoanguka hazikuzingatia ujenzi bora wenye kuvumilia hali ya hewa ya sasa Na Sebastian Mnakaya Zaidi ya nyumba 11 katika kijiji cha Mwashimbai kata ya Ngaya halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga zimeanguka kutokana na changamoto ya mvua zinazoendelea…

April 28, 2024, 5:58 pm

Msalala yapokea shilingi mil 500 tozo, miamala ya simu

Picha ya mkuu wa wilaya ya Kahama mhe.Mboni Mhita fedha zilizokuwa zinalalamikiwa na baadhi ya wananchi nchini za tozo na miamala leo zinatekeleza mradi miradi mbalimbali ya maendeleo Na Sebastian Mnakaya Serikali imeipatia halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga…

July 10, 2023, 11:58 pm

Watatu mbaroni tuhuma za kubaka mwanafunzi

Wazazi na Walezi wanatakiwa wawe karibu watoto kwa kuwalea katika maadili ya kidini,kwasababu kumekua na changamoto ya mmomonyoko wa maadili katika jamii” Na Halima Khoya Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia vijana watatu wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kumbaka…

July 10, 2023, 11:35 pm

Wananchi halmashauri ya Ushetu kunufaika na hifadhi ya Kigosi

Serikali imegawa hifadhi ya Kigosi iliyopo katika halmashauri ya Ushetu takriban kilometa 7,000 kwa ajili ya wananchi kufanya shughuli mbalimbali Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga watanufaika na hifadhi ya Kigosi baada ya serikali…

July 4, 2023, 11:20 am

Wakazi Kata ya Nyandekwa wahimizwa ushirikiano ujenzi wa zahanati

Wakazi wa Bujika kata ya Nyandekwa wilayani Kahama wametakiwa kuacha kukwamisha  shughuli  ya ujenzi wa zahanati kijijini hapo. Na Clement Paschal Wakazi wa kijiji cha Bujika kata ya Nyandekwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuacha kukwamisha  shughuli  ya ujenzi wa…

July 3, 2023, 12:17 pm

Upungufu wa chakula: Wananchi watakiwa kuhifadhi mazao ya chakula

Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameaswa kuhifadhi mazao katika msimu huu ili kuepuka uhaba wa chakula. Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuhifadhi mazao ya chakula kutokana na upungufu…

June 28, 2023, 2:46 pm

NAOT yawanoa wanahabari Shinyanga

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (National Audit Office of Tanzania – NAOT) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC) ambapo waandishi wa habari wamejengewa uwezo kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo nafasi ya vyombo vya…