Recent posts
July 4, 2024, 4:39 pm
Naibu Waziri Kapinga awahakikishia umeme wananchi wa vijiji vya Manzwagi, Kidun…
Naibu Waziri wa Nishati. Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kuwasimamia kwa umakini wakandarasi ili waweze kukamilisha kazi zao kwa wakati na kwa ufanisi, pia amewaelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wanaongeza nguzo 40 ambazo ni Sawa na kilometa…
June 18, 2024, 5:07 pm
Watoto walindwe dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia
Kauli mbiu ya mwaka huu ni Siku ya Mtoto wa Afrika ni “Elimu jumuishi kwa watoto izingatie maarifa, maadili na stadi za kazi” Na Leokadia Andrew Wananchi wa manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendeleo kuwalinda watoto wao dhidi ya…
June 18, 2024, 4:48 pm
Viongozi wa kata, vijiji someni mapato na matumizi kwa wananchi
Wananchi walikataa kuhudhuria mkutano kutokana na mwenyekiti wa kijiji cha Uyogo kutokuwepo hali iliyosababisha mkutano kutokufanyika hadi leo. Na Leokadia Andrew Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita amewataka maafisa watendaji wa kata na vijiji wa halmashauri ya Ushetu mkoani…
June 18, 2024, 4:31 pm
Wazazi, walezi simamieni maelekezo ya Mwenyezi Mungu katika familia
Wazazi wanapaswa kujitambua kwa kuwapelekea watoto wao katika shule zenye maadili pamoja na kuwasaidia jamii yenye uhitaji. Na sebastian Mnakaya Wazazi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kusimamia na kuwalea vyema watoto wao katika maadili mema ya kumpendeza Mungu ili kuwa…
June 14, 2024, 3:56 pm
Watoto wanaoishi mazingira magumu wawekewe mazingira wezeshi wapate elimu
halmashauri hiyo ilikuwa imetenga fungu ili kuwasaida watoto na baadae kilifutwa kutokana na serikali kuanzisha elimu bure Na leokadia Andrew Walimu wa shule za msingi na sekondari halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba serikali kuwasaidia na kuwatengenezea mazingira…
June 12, 2024, 5:12 pm
Walimu shule za msingi na Sekondari jiandaeni kustaafu
Watumishi wengi wamesahau kujiajiri kipindi wapo kazini hali inayosababisha wakati wanastaafu kupata changamoto katika eneo la kipato Na Sebastian Mnakaya Walimu wa shule za msingi na Sekondari katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujiandaa kustaafu kwa kujishughulisha…
June 11, 2024, 7:00 pm
Fedha za ununuzi wa pamba ni mkopo kutoka TADB
Chama kikuu cha KACU kimepokea mkopo wa shilingi bilioni tisa na milioni miatano kwa ajili ya kununua pamba kwa msimu wa 2024/2025 ambapo kinatarajia kununua pamba kilo milioni 6. Na Leokadia Andrew Chama kikuu cha ushirika KACU wilayani Kahama mkoani…
June 11, 2024, 6:48 pm
Jeshi la polisi Shinyanga lawakamata watuhumiwa mauaji
“Hatutakubali matendo haya ya kikatili yaendelee ndani ya Mkoa wa Shinyanga kwahiyo jeshi la Polisi tumeingia katika oparesheni kali kabisa kuhakikisha kwamba tunawasaka wale wote ambao wamehusika katika matendo haya na kwa kuanzia sasahivi tunawatuhumiwa watatu mparoni kuhusiana na lile…
June 7, 2024, 9:11 am
Wawili wachomwa moto kwa tuhuma za wizi Shinyanga
Vijana wawili waliofahamika kwa majina ya Bahati Dotto na Emma wakazi wa manispaa ya Shinyanga wamepigwa na wananchi wenye hasira kali na kisha kuchomwa moto hadi kupoteza maisha wakituhumiwa kujihusisha na matukio ya wizi. Tukio hilo limeteokea jana mtaa wa…
June 6, 2024, 10:21 am
Wakulima wa zao la Pamba toeni ushirikiano bodi mpya KACU
tutaendelea kufanya kazi kwa ushirikiano ili kukiinua chama kikuu cha KACU pamoja na kutafuta fursa mbalimbali zitakazosaidia kuwainua wakulima Na Leokadia Andrew Wakulima wa zao la Pamba wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kutoa ushirikiano kwa bodi mpya iliyochaguliwa ya chama…