Recent posts
May 6, 2021, 7:23 pm
Wanaume wafanyiwa ukatili na wanawake.
Imeelezwa kuwa Moja ya ukatili wa kijnsia unaojitokeza katika kata ya Nyamilangano halmashauri ya ushetu wilayani kahama mkoani shinyanga, ni baadhi ya wakina baba kupigwa na wake zao hali inayosababisha kutelekeza familia zao pamoja na wanandoa kutokugawana mali inapotokea wameachana.…
May 6, 2021, 7:06 pm
Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba bod…
Madiwani wa Halmashauri ya ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba bodi ya tumbaku Tanzania kushughulikia tatizo la vyama vya msingi vinne ambavyo havijalipwa fedha zao tangu msimu uliopita na makapuni ya ndani ya ununuzi wa tumbaku. Akizungumza katika kikao cha…
May 6, 2021, 4:32 pm
Umoja wa wanawake Tanzania wa chama cha mapinduzi (UWT) wilaya ya Kahama, umetoa…
Umoja wa wanawake Tanzania wa chama cha mapinduzi (UWT) wilaya ya Kahama, umetoa msaada kwa Shule ya msingi kahama A iliyopo katika manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga ambapo imepatiwa masinki 10 ya vyoo yenye thamani ya shilingi laki mbili ili…
May 3, 2021, 10:43 pm
SERIKALI yapigilia msumari waandishi kuwa na Diploma.
Na Kijukuu Cha Bibi K-Arusha. SERIKALI imesisitiza kuwa kufikia mwezi wa kumi na mbili mwaka huu sheria iliyopitishwa ya kuwataka waandishi wa Habari wawe na kiwando cha elimu ngazi ya stashahada itaanza kutumika na kwamba waandishi ambao hawana elimu ngazi…
May 2, 2021, 2:58 pm
MWANZA:Tucta yapendekeza mshahara uanzie 970,000.
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limewasilisha kilio cha wafanyakazi mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan na kupendekeza kuwa kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta ya umma kiwe Sh. 970,000 ili kumuwezesha mfanyakazi kumudu gharama za…
May 2, 2021, 1:35 pm
DC ARUSHA:Tutawalinda waandishi wa habari na haki zao.
Na Kijukuu cha bibi K SERIKALI imeahidi kushirikiana na waandishi wa Habari wote nchini katika shughuli mbali mbali za maendeleo ikiwa ni Pamoja na kuwalinda waandishi wa Habari na kulinda haki zao. Hayo yamesemwa leo Jijini Arusha na Mkuu wa…
April 29, 2021, 10:08 am
Kikosi cha 23 KJ Kimehitimisha mafunzo rasmi ya Sambalatisha Adui.
Jeshi la wananchi wa Tanzania kikosi cha 23 KJ limehitimisha mafunzo rasmi ya sambalatisha adui yaliyolenga kujikumbusha mbinu mbalimbali za kivita ikiwa ni pamoja na kujiweka timamu kila wakati ili kuendelea kulinda mipaka ya nchi . Mkuu wa shule ya ifantiria Brigedia Jenerali Selemani Gwaya ambaye…
April 29, 2021, 9:52 am
Vibaka 17 wakamatwa Shunu Kahama,RPC awashukia wazazi.
Vibaka wakabaji 17 wenye umri chini ya miaka 18 wamekamatwa mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga manispaa ya kahama na jeshi la polisi katika oparation maalumu iliyofanyika kwa muda wasiku tatu. Wakazi wa mtaa wa Shunu kata ya Nyahanga manispaa…
April 28, 2021, 7:06 am
TBS yatoa Elimu kwa wasindikaji wa Mchele Kahama.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu kwa wasindikaji, wajasiriamali na wadau wa mchele wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga katika mnyororo wa thamani kuhusu kanuni bora za uzalishaji,matakwa ya viwango,namna bora ya uhifadhi,elimu juu ya vifungashio na taarifa za msingi…
April 25, 2021, 4:41 pm
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP DEBORA MAGILIGIMBA amefanya ukaguzi kwa…
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP DEBORA MAGILIGIMBA leo Jumapili Aprili 25,2021 saa 11 alfajiri amefanya ukaguzi kwa mabasi yaendayo mikoani kutoka Kituo Cha Mabasi Kahama na kutoa elimu ya usalama barabarani kwa abiria na madereva wa magari hayo.…