Recent posts
June 1, 2021, 6:18 pm
Wakala wa huduma za misitu Tanzania(TFS)Manispaa ya Kahama watakiwa kujitathmini…
Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) wilayani Kahama mkoani Shinyanga imetakiwa kujitathmini katika utendaji kazi wao, ikiwa ni pamoja na kuzuia ukataji miti na kuchukua mbao kwa wafanyabiasha. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala…
June 1, 2021, 6:04 pm
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama yapongezwa kwa kuelekeza fedha za mapato ya nd…
Halmashauri ya manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imetakiwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbli ya maendelea kwa kutumia mapato ya ndani ili kutatua changamoto za wananchi. Kauli hiyo imetolewa leo na waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali…
May 31, 2021, 1:48 pm
OSHA YAZINDUA MPANGO WA KUSAJILI NA KUKAGUA MAENEO YA WAJASIRIAMALI WADOGO.
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umezindua mpango maalum wa kuwasajili na kuwahudumia wajasiriamali wadogo kupitia ukaguzi wa sehemu za kazi, kuwapa mafunzo na ushauri wa kitaalam kuhusiana na masuala ya usalama na afya mahali pa kazi.…
May 31, 2021, 8:27 am
Rais Samia atengua uteuzi wa Azza Hilal Kuwa Katibu tawala mkoa wa Simiyu.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu na nafasi yake kuchukuliwa na Prisca Joseph Kayombo ambaye alikuwa Afisa Mkuu wa Utawala na Utumishi katika…
May 29, 2021, 2:11 pm
Waziri Ummy Ameagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Wakuu Wa Idara Wanne Kupisha Uchunguz…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu ameagiza kusimamishwa kazi wakuu wa Idara Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa kushindwa kusimamia kwa weledi ukamilishaji wa ujenzi wa Machinjio ya kisasa iliyopo Ndembezi…
May 27, 2021, 4:28 pm
KAHAMA:Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa wa mauaji na matapeli Sugu.
Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linawashikilia watuhumiwa wawili SHINJE NGULA (23) mkazi wa Nindo wilaya ya Shinyanga vijijini na KISINZA LUSAMILA (28) mkazi wa mkoani katavi kwa kosa la mauaji ya HADIJA KISINZA mkoani humo. Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga…
May 26, 2021, 7:42 am
Wafanyabiashara wa Soko la Sango Kahama waiomba serikali Kuboresha Miundombinu.
Wafanyabiashara katika eneo la PHATOMU wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba serikali kuboresha miundombinu katika soko la SANGO lililopo kata ya NYASUBI manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, baada ya kuondolewa katika eneo hilo, na Mtendaji wa kata, na kutakiwa kwenda katika…
May 17, 2021, 9:40 am
DC KAHAMA:Wauguzi na wakunga zuieni vifo vya wajawazito na watoto.
Serikali imewaagiza wauguzi na wakunga katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga kuhakikisha wanazuia vifo visivyokuwa vya lazima vya akinamama wajawazito na watoto kwa kutoa huduma za afya stahiki na kwa weledi utakaowezesha wananchi kufurahia upatikanaji wa huduma za matibabu. Kauli…
May 11, 2021, 4:12 pm
UNA:Waandishi wa Habari zingatieni Malengo Ya Maendeleo Endelevu 2030 katika taa…
DAR ES SALAAM Waandishi wa Habari hususan wa redio za kijamii nchini wametakiwa kutumia malengo ya maendeleo endelevu 2030 katika kuibua changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii zao kwa lengo la kuleta ufumbuzi na kuwakumbusha wasimamizi na watunga sera. Hayo yamesemwa…
May 7, 2021, 7:25 pm
MLINZI AMUUA MKEWE AKITUMIA DAWA ZA ARV KWA KUJIFICHA.
Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Peter Elias (29) mlinzi na mkazi wa Ndembezi Mjini Shinyanga kwa kosa la kumuua mke wake Pili Luhende akimtuhumu kutumia Dawa za Kufubaza Makali ya Virusi vya Ukimwi ‘ARV’ kwa kificho.Kwa mujibu wa…