Recent posts
September 1, 2021, 12:32 pm
KAHAMA:DC awashukia TARURA ubovu wa barabara ya kusafirisha Mchele.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Festo Kiswaga amemwaagiza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA kuzungukia barabara zote zilizo chini yao za mitaa na vijiji ili kubaini maeneo yenye ubovu wa barabara na kuyafanyia marekebisho. Kiswaga ametoa agizo hilo…
August 30, 2021, 12:41 pm
Madiwani wa halmashauri ya Msalala wilayani Kahama waomba serikali kutatua chang…
Madiwani wa halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa vifaa tiba pamoja na dawa katika vituo vya afya pamoja na zahanati, ikiwemo zahanati ya Bugarama. Madiwani hao wamesema hayo katika kikao cha baraza…
August 30, 2021, 12:34 pm
Kero ya barabara halmashauri ya Msalala yasababisha uwepo wa ajali nyingi.
Madiwani wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba serikali kurekebisha miundombinu ya barabara ya Kahama hadi Kakola. Madiwani hao wameleeza hayo katika kikao cha baraza la madiwani cha robo ya nne, wakati wa kipindi cha maswali ya papo…
August 29, 2021, 3:12 pm
KAHAMA: Watanzania watakiwa kuwa wazelendo kutumia bidhaa za Nyumbani.
Watanzania wametakiwa kuwa wazalendo kwa kutumia bidhaa za nyumbani ikiwa ni njia ya kuongeza pato la taifa Pamoja na kuweka hamasa kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza katika biashara mbalimbali. Hayo yamesemwa leo na Afisa mauzo wa kampuni ya uzalishaji na…
August 29, 2021, 2:08 pm
KAHAMA:Mobisol yawataka Wananchi kutumia umeme jua kujiletea maendeleo.
Na William Bundala Kahama Kampuni ya usambazaji wa huduma za vifaa vinavyotumia umeme unaotokana na nishati ya jua (Mobisol) wilayani Kahama mkaoni Shinyanga imewataka wananchi wilayani Humo kutumia nishati hiyo ikiwa njia mbadala ya kupata nishati ya umeme yenye gharama…
August 29, 2021, 11:04 am
DODOMA:Serikali yaombwa kuanzishwa vituo vya kuhifadhia Data katika jamii.
SERIKALI imeombwa kuanzisha na kutoa leseni kwa vituo jamii vya kuhifadhi taarifa (yaani community-owned data centre) ili kuongeza idadi maudhui ya ndani (yaani local content) ambavyo vitakuwa chachu ya kuongeza idadi ya watumiaji wa internet kama ilivyo lengo la serikali…
August 28, 2021, 5:22 pm
KAHAMA:Tanesco yatoa elimu maonyesho ya Biashara,Wananchi kunufaika na huduma.
Wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kutumia fursa ya uwepo wa maonyesho ya Biashara katika Manispaa hiyo ili kupata elimu ya matumizi ya umeme na huduma za TANESCO ikiwa ni pamoja na kuuliza mambo wasiyoyafahamu kuhusu nishati hiyo. Wito huo…
August 25, 2021, 12:37 pm
RC Shinyanga azuia tani 400 za dengu kusafirishwa.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Dk Phillemon Sengati amezuia zaidi ya tani 400 za dengu zinazodaiwa kununuliwa kutoka kwa wakulima kwa njia ya ulanguzi zisisafirishwe nje ya mkoa huo. Dk Sengati ameagiza shehena hiyo ambayo ilikuwa imepakiwa kwenye malori tayari…
August 23, 2021, 8:49 am
MSUMBA:Wana Kahama endeleeni kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo yetu.
Wananchi katika Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya miundombinu mbalimbali za manispaa pamoja na kutekeleza miradi mbalimbali kwa manufaa ya wanakahama. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mkurugenzi mtendaji wa manispaa…
August 23, 2021, 7:47 am
KAHAMA:Tamasha la Michezo,Afya na biashara kuanza leo,Wafanyabiashara 3000 kushi…
Zaidi ya wafanyabiashara 3000 kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania wanatarajia kushiriki mazoezi ya viungo ili kujikinga na ugonjwa wa Uviko 19 pamoja na Maonesho ya Biashara yatakayofanyika katika uwanja wa taifa wilayani Kahama mkoani Shinyanga kuanzia Jumatatu Agosti 23 hadi…