Kahama FM

Unafahamu nini kuhusu ugonjwa wa marburg?

February 28, 2025, 5:57 pm

Picha na wizara ya afya

Msikilize Mtaalam wa Magonjwa ya Mlipuko kutoka Hospitali ya Manispaa ya Kahama Dkt. Raphael Kibata, wakati akizungumza katika kipindi cha Ukurasa Mpya ndani Kahama FM, je ni zipi dalili za ugonjwa wa Murbug,jinsi ya kujikinga na namna unavyoambukiza msikilize mtalaam