Joy FM

miundombinu

June 18, 2025, 1:17 pm

Shilingi bilioni 1.9 wakopeshwa vijana Tunduma

Vijana wametakiwa kuchangamkia fursa ya asilimia ya mikopo inayotolewa na hamashauri mji Tunduma kwa lengo la kuinua uchumi wao. Na:Denis Sinkonde Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilaya ya Momba Mkoani Songwe kwa kipindi cha uongozi wa serikali ya Awamu ya…

11 June 2025, 00:23

Wadau wakutana kuteta muarobaini soko mazao

Wadau mbalimbali wakiwa picha ya pamoja wakiwemo watoa huduma, vyama vya ushirika, wafanya biashara, wasindikizaji wa mazao na maofisa wa serikali mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya kikao biashara. Picha na Marko Msafiri. Awali, wakulima wengi walikumbana na changamoto mbalimbali…

8 June 2025, 14:22

Watu 28 wafariki dunia ajalini Mbeya, Rais atoa mkono wa pole

Maisha ni hadithi na huwa yananyauka na kama maua,hali hiyo unaweza kuifananisha na maisha ya mwanadamu kwani huwa na nyakati tofauti mpaka kukifikia kifo. ‎‎Hobokela Lwinga ‎‎ WatuWatu 28 wamefariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu…

June 4, 2025, 3:09 pm

Pombe yamponza Esau msibani

Wakazi wa mtaa ya Kigungani kata ya Mwilamvya katika Halmashauri ya Mji Kasulu waonywa kuhudhuria misibani wakiwa wamelewa na kuanzisha fujo na kutoa maneno machafu yanayoumiza kwa wafiwa na waombolezaji katika msiba. Na: Mbaraka Shaban Mwenyekiti wa kamati ya maafa…

2 June 2025, 8:12 pm

Elimu ya matumizi ya nishati yafika Iringa

Elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ina lengo la kutunza mazingira katika Jamii. Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kanda ya kati, imeendelea na jitihada zake za kuelimisha umma kuhusu matumizi…

28 May 2025, 9:06 pm

Rushwa yatajwa kuwa chanzo viongozi wasiowajibika

Wajumbe wanaopokea rushwa kwa wagombea wamekuwa chanzo cha viongozi wasiowajibika kwa wananchi. Na Cleef Mlelwa Uwepo wa mifumo ya kisiasa ambayo inaamini katika kugawa vitu kwa wananchi badala ya kuwajengea uwezo utakao wasaidia kujiletea maendeleo na kujitegemea imetajwa kuwa ndio…

26 May 2025, 13:11

Kilimo Masoko yaja na mkakati masoko

Mafunzo hayo ni ya kuwainua wakulima kutawala katika soko la dunia kupitia uwepo wa mazingira wezeshi. Na Marko Msafiri Taasisi ya Nafaka Kilimo kupitia mradi wa Kilimo Masoko (FtMA) Kwa imewakutanisha wadau mbalimbali katika sekta ya pembejeo kwa lengo la…

21 May 2025, 12:50 pm

Bomang’ombe wamtwisha zigo la mbwa DC Bomboko

Katika kuhakikisha kila Mtanzania anaishi maisha bora na kupata huduma zote za kijamii, Mkuu wa Wilaya ya Hai Hassan Bomboko amefanya mkutano wa hadhara na kusikiliza kero zinazowakabili wananchi. Na Eliya Sabai –Hai Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya Hai Mh Hassan…