Joy FM

maendeleo

7 May 2025, 6:44 pm

Makubaliano mapya kuleta mageuzi ya utalii Zanzibar

Mary Julius. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mudrick Ramadhan Soraga, amesema kwa kuwa utalii ni sekta yenye wadau wengi, wizara yake imeamua kusimamia ushirikiano wa pamoja ili kuondoa hali ya ushindani usiokuwa na tija na badala…

May 7, 2025, 11:54 am

Wauzaji wa mitungi ya gesi wapewa neno

Ni kutaka kuwaridhisha wateja   Na Anyisile Freddy Wauzaji wa gesi ya kupikia wametakiwa kuwa na mizani ya kupimia mitungi ya gesi ili kulinda uaminifu kwa wateja. Mfanyabiashara wa kuuza mitungi ya gesi mjini Vwawa mkoani Songwe, Grace Sichone amesema…

May 6, 2025, 2:00 pm

Wadudu waondoka na mwili wa marehemu msibani

Taharuki imetokea baada ya mwili wa marehemu kurudishwa mochwari mara mbili kabla ya kuzikwa. Na Michael Nanyaro Kundi la vijana wa bodaboda maarufu kama wadudu wilayani Arumeru jijini Arusha  wamemrudisha mwenzao aliyefariki  mochwari baada ya mwili kufikishwa nyumbani na familia,…

6 May 2025, 10:18 am

Waliolipwa Nyatwali watakiwa kuondoka

Serikali tayari imetoa bilioni 53 kwa ajili ya ulipaji wa fidia kwa wakazi hao ili kuachia maeneo hayo yawe sehemu ya hifadhi ya taifa ya Serengeti. Na Adelinus Banenwa Wananchi wa Nyatwali ambao tayari wamelipwa stahiki zao kwa utaratibu wa…

5 May 2025, 15:17

Kasulu yavuka lengo la ukusnyaji mapato

Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma imevuka lengo la ukasanyaji wa mapato ya ndani kwa asilimia 102. Na Hagai Ruyagila Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma limempongeza Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Mwl, Vumilia Simbeye kwa…

5 May 2025, 12:28

Madiwani watakiwa kutoa elimu ya usalama Kasulu

Viongozi wa Serikali za mitaa na vijiji wametakiwa kusaidia kuwaelesha wananchi juu ya usalama katika maeneo yao Na Hagai Ruyagila-Kasulu Madiwani wa halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kutoa elimu ya usalama katika maeneo yao hii ni…