Jamii FM
Jamii FM
November 27, 2025, 6:58 am
Mbolea ya ruzuku inauzwa kwa bei tofauti na bei elekezi ya serikali Na Stephano Simbeye Meneja wa Mamlaka ya Mbolea Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Joshua Ng’ondya amesema mbolea hiyo imekutwa ikiuzwa katika duka la wakala aitwaye Hemed…
23 November 2025, 3:07 pm
Tunatoa mafunzo kwa wakulima na wafugaji tuliowachagua kutoka wilaya tofauti za mkoa wa simiyu tunawafundisha namna ya kutunza uoto wa asili na kupanda miti (ngitili ) kwa ajili ya malisho ya mifugo yao.. “Raymond Makanga- SCRP “ Serikali Mkoa wa …
18 July 2025, 11:25 am
Kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi SACP Kaster Ngonyani. Picha na Samwel Mbugi ” Tumekamata vijana 3 na madada poa 17 na tumewapeleka mahakamani” Na Samwel Mbugi Jeshi la polisi mkoani Katavi limefanikiwa kukamata madada poa 17 na vijana 3 waliokuwa…
15 July 2025, 11:35
Serikali imesema inaendelea na uboreshaji wa miundombinu ya usafiri na usafirishaji kwa kuhakikisha inaboresha na kupanua uwanja wa ndege Kigoma ili uweze kuwa na hadhi ya kimataifa. Na Josephine Kiravu Mradi wa Upanuzi na Uboreshaji wa uwanja wa ndege Kigoma…
17 April 2025, 15:17 pm
Karibu kwenye makala maalum kupitia Jamii FM, Leo tunakuletea simulizi ya kusisimua, ya kuhamasisha, na yenye kugusa hisia, simulizi ya kijana mmoja jasiri, mwenye moyo wa chuma na sauti ya dhahabu juu ya Ulemavu na sanaa Na Msafiri Kipila John…
22 February 2025, 5:23 pm
Imeelezwa kuwa Serikali kupitia bodi ya pamba Tanzania imedhamilia wakulima wa zao hilo kulima kwa tija badala ya kulima mashamba makubwa lakini mavuno kidogo. Hayo yamesemwa na mkaguzi wa zao la pamba wilayani Bunda Ndugu Hemedi Kabea mbele ya katibu…
January 24, 2025, 10:44 am
Kitambulisho cha Taifa ni nyaraka muhimu kwa mwananchi kutokana na kuonyesha utambulisho wa mwananchi. Na Sebastian Mnakaya Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wasiokuwa na vitambulisho vya Taifa wametakiwa kufika katika ofisi za NIDA kujiandikisha ili kupata…
8 January 2025, 1:32 pm
Picha ya mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Manyara Bahati Haule Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwaka huu, mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Manyara Bahati Haule amesema wameandaa mbinu nyingi za kudhibiti vitendo vya rushwa katika uchaguzi mkuu. Na Mzidalfa Zaid…
9 December 2024, 8:19 pm
Maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kiwilaya Sengerema yamefanyika shule ya Msingi Lumeya katika halmashauri ya Buchosa ambapo miti 2000 imepandwa kama kumbukumbu ya maadhimisho hayo mwaka huu. Na;Emmanuel Twimanye Wakala wa Huduma za Mistu Tanzania (TFS)…
9 December 2024, 2:42 pm
Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961 kutoka kwa mkoloni mwingereza, ikikabbidhiwa kwa mwl. julius K.Nyerere akiwa kama waziri mkuu wa kwanza mtanganyika na badae rais wa kwanza wa taifa hilo,na leo imetimia miaka 63 tangu kupatikana kwa uhuru huo. Na;;Elisha Magege…