Podcasts

11 August 2022, 5:25 pm

Wakenya wengi wasusia Uchaguzi 2022.

Nchini Kenya leo ni siku ya 2 tangu wananchi wake walipopanga mstari kuelekea masanduku ya kupiga kura kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi mkuu wa 2022 mara baada ya kampeni kukamilika. Vyombo vya habari nchini humo vinajaribu kufanya hesabu za kumjua…

6 August 2022, 7:44 pm

DC MASWA AOKOA ZAIDI YA LITA 30,000 ZA MAFUTA YA DIESELI ZILIZOTAKA …

Mkuu wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Aswege  Kaminyoge  ameliagiza  Jeshi  la Polisi  kuwasaka  na  kuwakamata  watu  wote  waliofanya  hujuma  za  kutaka  kuiba  Mafuta  aina  ya  Dieseli  katika  kituo  cha  Malampaka  ambapo  Ujenzi  wa  Reli  ya  Kisasa   SGR  Unaendelea. Mh  …

26 July 2022, 6:55 pm

Funguni Sekondari yapokea Milioni Mia Mbili za Mabweni.

Shule ya Sekondari Funguni iliyopo Wilayani Pangani mkoani Tanga imepokea kiasi cha pesa shilingi millioni mia mbili  kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wakike na wakiume. Akizungumza na Pangni FM katibu tawala Wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange…

July 22, 2022, 11:29 am

Wananchi Kahama watakiwa kushiriki zoezi la sensa

Wananchi Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi litakalofanyika Agosti 23, 2022. Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga leo Julai 21, 2022 wakati akizungumza na HUHESO fm amesema maandalizi…