Dodoma FM

Wizara ya Afya

19 May 2023, 3:45 pm

Mgogoro wa maji Subugo kutafutiwa ufumbuzi

Viongozi wa Kijiji wametakiwa kuwa wabunifu kutambua fursa za kiuchumi zilizopo katika maeneo yao kama kilimo chenye tija ili waweze kuwakwamua wananchi kiuchumi na kupata maendeleo. Na Bernadetha Mwakilabi. Mgogoro wa maji uliopo kitongoji cha Subugo kati ya Serikali ya…

2 May 2023, 3:06 pm

DUWASA kutatua changamoto ya maji Nala

Mkoa wa Dodoma, umekuwa na Uendelezaji wa vyanzo vya maji (uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa) kwa kutumia vyanzo vikuu kama vile Uchimbaji wa visima virefu 34. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma imesema…

26 April 2023, 5:11 pm

Mlowa Bwawani walalamika ujenzi wa Tanki kutokamilika

Mradi huo ulitarajiwa kukamilika ndani ya Mwezi mmoja baada ya kutambulisha october 30 2022 lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea kutokana na changamoto mbalimbali. Na Mindi Joseph. Wananchi wa Kijiji Cha Mlowa Bwawani Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wamelalamikia kutokukamilika kwa…

12 April 2023, 6:35 pm

Wananchi wengi hawafahamu gharama za maji kwa lita

Tayari DUWASA imeomba marekebisho ya bei za maji hadi mwaka 2026 ili kukidhi marekebisho ya miundombinu ya maji. Na Mindi Joseph. Kwa Mujibu wa ufuatiliaji uliofanywa na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Nishati na Maji Ewura CCC…

12 April 2023, 4:46 pm

Ibihwa watarajia kuondokana na adha ya maji

Mradi wa maji kata ya Ibihwa unatekelezwa na Serikali ya Tanzania kupitia RUWASA wilaya ya Bahi na kusimamiwa na kampuni ya Prest Water and Civil works. Na Bernad Magawa Mradi mkubwa wa maji unaojengwa katika kijiji cha Ibihwa unatajiwa kuanza…

10 April 2023, 12:53 pm

Kukatika kwa Umeme kunaathiri upatikanaji wa maji Kongwa

Duwasa imeendelea kuhimiza utunzaji wa miundombinu ya maji safi iliyopo katika maeneo yao ili iweze kudumu kwa muda mrefu. Na Miandi Joseph. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira  Dodoma (DUWASA) imesema kukatika mara kwa mara kwa huduka ya umeme…