Dodoma FM

Wizara ya Afya

28 June 2023, 5:41 pm

Milioni 560 kutatua kero ya maji Bahi

Upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama umeendelea kuwa changamoto katika baadhi ya vijiji mkoani Dodoma. Na Mindi Joseph. Milioni 560 zinatarajiwa kutumika katika kuchimba kisima cha maji ndani ya kijiji cha Uhelela wilayani Bahi mkoani Dodoma ambacho kitahudumia…

9 June 2023, 12:44 pm

Huduma ya maji nchini sasa 88% mijini, 77% vijijini

Aidha ametoa wito kwa jamii kuzingitia sheria na kulinda miundombinu ya maji ili kuunga mkono jitihada za upatikanaji wa huduma ya maji nchini. Na Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa hali ya upatikanaji wa huduma ya maji nchini imeendelea kuimarika na kufikia…

7 June 2023, 5:06 pm

Bahi: Adha ya maji Lamaiti yafikia tamati

Mradi huo uliojengwa kwa hisani ya shirika la Water Mission ukigharimu zaidi ya milioni 800 za kitanzania, ni moja ya miradi mikubwa ya maji wilayani Bahi na umetatua changamoto za maji safi na salama kwa wananchi wa kijiji hicho cha…

2 June 2023, 1:21 pm

Wakazi kata Ntyuka kuondokana na adha ya maji

Na Selemani Kodima. Wakazi  4,441 wa mitaa ya Chimalaa na Nyerere   kata ya Ntyuka  jijini Dodoma wanatarajiwa  kuondokana na adha ya kutopata uhakika wa  maji safi na salama  baada ya uzinduzi wa mradi wa maji  wa Ntyuka Chimalaa kukamilika  .…

1 June 2023, 5:38 pm

Mradi uchimbaji visima vya maji kunufaisha wakazi Nzuguni

Mradi huo wenye mikataba minne una thamani ya sh. Bilioni 4.8. Na Mindi Joseph. Wakazi 37,929 katika kata ya Nzuguni mkoani Dodoma wanatarajia kunufaika na utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji  unaotarajiwa kukamilika mwezi Agosti mwaka huu.…

29 May 2023, 8:09 pm

Wananchi Bahi Makulu kupelekewa huduma ya maji

Na Bernad Magawa. Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ameahidi kupeleka huduma ya maji safi katika kijiji cha Bahi Makulu ili kuwaondolea adha wananchi kutokana na kutokuwepo kwa huduma hiyo kijijini hapo. Nollo ameyasema hayo Mei 28, 2023…

29 May 2023, 7:39 pm

Kongwa: Wananchi waridhia kuhama kupisha chanzo cha maji

Na Bernadetha Mwakilabi. Wananchi wa kitongoji cha Kawawa kilichopo katika mamlaka ya mji mdogo Kibaigwa wilayani Kongwa wameridhia kuhama ili kupisha eneo la chanzo cha maji lililopo kitongojini hapo lenye ukubwa wa hekari 28. Hayo yamejiri mapema katika ziara yake…