Dodoma FM

Wizara ya Afya

19 July 2022, 1:35 pm

Serikali yatenga bilioni 387. 73 kwaajili ya maji vijijini

Na;Mindi Joseph . Serikali imetenga Shilingi Bilion 387.73 kwa ajili ya uwekezaji wa huduma ya  maji maeneo ya vijijini ili kutatua changamoto inayowakabili wananchi. Akizungumza leo jijini Dodoma na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali Mkurungezi Mkuu wa…

28 June 2022, 9:17 am

Kisima cha maji chaleta Neema kwa wakazi wa Farkwa.

Na ;Victor Chigwada. Kupatikana kwa mita ya kisima Cha maji katika Kijiji cha Farkwa imesaidia kupunguza changamoto ya maji katika eneo hilo. Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo Bw.Stephano Patrick amekiri hali ya upatikanaji wa maji Kijiji…

31 May 2022, 1:30 pm

Uhaba wa maji Suguta ni kikwazo cha ndoa nyingi

Na;Mindi Joseph .           Wananchi Kijiji cha Suguta wilayani kongwa wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya maji ambayo inawakabili kwa Muda mrefu. Taswira ya habari imezungumza na Baadhi ya wanawake ambapo wamesema wamekuwa wakilazimika kukaa kisima kwa muda mrefu wakisubiria kuchota maji.…

6 May 2022, 3:13 pm

Mazae waendelea kupata changamoto ya maji

Na,Mindi Joseph. Changamoto ya upatikanaji wa maji bado inaendelea kuwakabili wananchi wa kijiji cha mazae wilayani mpwapwa. Taswira ya habari imezungumza na Mwenyekiti wa kijiji cha mazae steven Makasi ambapo amesema changamoto hii imekuwepo kwa muda  kirefu. Ameongeza kuwa wananchi…