Dodoma FM

utalii

3 December 2025, 13:57

Vijana waaswa kuwa wazalendo kwa jamii na Taifa

Vijana  Katika Manispaa ya Kigoma Ujiji  wameaswa kuacha kufanya   mambo yasiofaa katika jamii na Taifa kwa ujumla. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti  Msaidizi Mstaafu  wa makanisa ya CPCT Mkoa wa Kigoma, Mchungaji Augustino Japhari Kizeba wakati wa kilele cha sherehe za…

3 August 2025, 3:40 pm

Yanga kurudi kama Mbogo kimataifa

Klabu ya Yanga imeahidi kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa msimu huu kuliko wakati wowote. Na Mrisho Sadick: Klabu ya Soka ya Yanga imeendelea kusherehekea mafanikio yake ya msimu wa 2024/25 kwa kutembeza makombe yake matano  katika mitaa mbalimbali ya…

July 28, 2025, 6:06 pm

Kahama wahimizwa kujikinga na homa ya ini

”Jamii inapaswa kujikita zaidi katika kujikinga dhidi ya maradhi ya ugonjwa wa homa ya ini kwa kuwa ni ugonjwa hatari na unaochukua maisha ya watu wengi duniani” Na John Juma Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamehimizwa…

20 June 2025, 9:35 am

Bei ya pamba yapanda, yafikia 1200 Bunda

Mambo ya kuzingatia nipamoja na AMCOS kutochezea mizani, wananchi kutobeba au kuhifadhi pamba kwenye sandarusi na makampuni kujitahidi kununua pamba kwa ushindani. Na Adelinus Banenwa Zikiwa zimetimia siku 20 tangu kufunguliwa kwa msimu wa ununuzi wa zao la pamba wilayani…