Dodoma FM
Dodoma FM
15 February 2025, 4:09 pm
Vijana wa UVCCM mkoa wa Geita wametakiwa kujiamini na kupambania nafasi mbalimbali za kiuongozi kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanzania. Na: Ester Mabula – Geita Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu, Vijana wa umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi…
15 January 2025, 10:57 am
Watumishi wa Umoja wa Jumuiya wa wazazi kupitia chama cha mapinduzi (CCM mkoa wa Geita wametakiwa kutunza na Kulinda Nyumba za Jumuiya hiyo na wala wasigeuze Matumizi yake. Na: Nicholaus Lyankando – Geita Wakizungumza katika uzinduzi wa Jengo jipya la…
12 December 2024, 09:21
Idara ya elimu Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma imetakiwa kuanza kufuatilia walimu ambao hawawajibiki ipasavyo katika suala la ufundishaji hali inayosababisha matokeo kuendelea kuporomoka katika wilaya hiyo hasa katika matokeo ya darasa la saba. Na Michael Mpunije – Kasulu Mkuu wa…
4 December 2024, 10:53 am
Waziri Silaa amewahakikishia wananchi wa Msolokelo kufikishiwa huduma za mawasiliano katika kipindi kifupi kijacho. Na Mariam Matundu.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) ametoa maelekezo kwa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kushirikiana na…
28 November 2024, 7:34 pm
Niwapongeze kwa Ushindi mliopata hivyo saivi ni Wenyeviti wa Vitongoji rasmi, Nendeni mkawatumikie Wananchi kwani wanachangamoto nyingi katika maeneo yao – DED Maswa Maisha Mtipa https://maswadc.go.tz/ Jumla ya Wenyeviti wa Vitongoji 40 kutoka kata Nne zinazounda Mamlaka ya Mji Mdogo…
7 November 2024, 8:56 pm
Mkuu wa wilaya ya Bunda amewataka wakazi wote wa Bunda kushiriki kikamilifu katika tamasha hilo maana linazo fursa nyingi za kiuchumi kuanzia kwa wafanyabiashara hadi bodaboda. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Naano amewataka wakazi wote…
27 October 2024, 10:30 am
Mwaka 2023 Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopiga hatua kubwa katika matumizi ya TEHAMA kwa kushika nafasi ya 26 kidunia na ya pili barani Afrika baada ya Mauritius. Hayo yamebainishwa kwenye utafiti uliofanywa na Benki ya Dunia (WB) kuhusu…
28 September 2024, 9:46 am
Wana-CCM kata ya Buhalahala wameanza mchakato wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho katika kata hiyo ili kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kukosa ofisi. Na: Edga Rwenduru – Geita Wanachama wa chama cha mapinduzi CCM kata ya Buhalahala iliyopo…
5 September 2024, 6:40 pm
Baada ya Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Babati Lazaro Twange kukabidhi ofisi kwa mkuu mpya wa wilaya ya Babati ,amezishukuru taasisi zote zilizopo chini ya ofisi hiyo kwa kumuonyesha ushirikiano katika utendaji wa kazi wakati wote alipoKuwa akifanyakazi katika wilaya…
2 September 2024, 10:59 am
Kwa sasa bei za Uniti za Umeme Nchini Tanzania zinatofautiana kulingana na matumizi na Ruzuku za Serikali. Na Seleman Kodima. Wakazi wa Jiji la Dodoma wamekuwa na maoni tofauti juu ya mapendekezo yaliyotolewa Bungeni Jijini Dodoma juu ya mapatio mapya…