Dodoma FM

Umeme

1 March 2023, 4:00 pm

Watendaji wa kata Bahi waishukuru Serikali

Hapo awali watendaji hao walikuwa na changamoto kubwa ya usafiri hasa katika kuzungukia kata zao lakini kwa sasa wanaweza kufuatilia mianya yote ya upotevu wa mapato kwa kutumia pikipiki walizopewa kuhakikisha wanakuza pato la halmashauri na serikali kwa ujumla. Na.…

24 February 2023, 3:47 pm

Wanawake watakiwa kuacha kukimbilia mikopo Mitaani

Mikopo mingi ya mitaani imekuwa inapelekea kukosa faida na kushindwa kujiwekea akiba Na Mariam Kasawa. Wanawake wametakiwa kuacha kukimbilia mikopo ya Mitaani badala yake wajikite kuomba mikopo inayo tolewa na halmashauri ili waweze kunufaika na mikopo hiyo. Akizungumza na Dodoma…

23 February 2023, 5:13 pm

e- GA kuimarisha mtandao kwa miaka 10 ijayo

Mamlaka ya Serikali Mtandao ina mpango wa kuhakikisha inajenga Serikali ya Kidijiti Katika kipindi cha miaka 10 ijayo. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) imesema Katika kipindi cha miaka 10 ijayo itahakikisha huduma za mtandao maeneo yote zinapatikana.…

26 August 2021, 1:44 pm

Mradi wa kufua umeme Zuzu watajwa kufikia asilimia 98.

Na;Mindi Joseph . Mradi wa kituo cha kufua umeme Zuzu umetajwa kufikia asilimia 98 huku ukitarajiwa kufunguliwa Rasmi Septemba 30 mwaka huu. Mradi huo utakuwa na uwezo wa kusambaza umeme ndani ya Nchi pamoja na Nchi jirani.Katika Mkoa wa Dodoma…

13 July 2021, 1:20 pm

Moleti waiomba Serikali kuwapelekea huduma ya umeme

Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji cha Moleti Wilaya ya Kongwa wameiomba Serikali kuharakisha kuwaunganishia huduma ya umeme wa REA kutokana na kuchangishwa fedha takribani mwaka mmoja uliopita. Wamesema hayo wakati wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamedai kuwa baadhi ya…