Dodoma FM
Dodoma FM
1 December 2025, 2:58 pm
Edmund Rutaraka amethibitisha nguvu zake wilayani Hai baada ya kushinda kwa kishindo uchaguzi wa ndani wa CCM, akipata kura 15 kati ya 23 na kurejeshwa rasmi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai. Na Elizabeth Mafie na…
2 October 2025, 6:09 pm
Imekuwa desturi kwa wazee kote nchini kulalamikia uduni wa huduma za afya kila inapofika Oktoba mosi na kuiomba serikali kuwapa unafuu wa maisha kwa kuwapatia penseheni na matibabu bila malipo. Na Respicius John, Missenyi, Kagera Wazee wilayani Missenyi mkoani Kagera…
23 September 2025, 4:46 pm
Wafanyakazi wa nyumbani bado wanakumbwa na unyanyasaji kwa sababu kazi hiyo haieshimiwi kama kazi rasmi. Na Lilian Leopold.Kulingana na ripoti kutoka Shirika la Kazi Duniani (ILO), zaidi ya watu milioni moja wameajiriwa kama wafanyakazi wa nyumbani nchini na wengi wao…
September 10, 2025, 7:29 am
“Elimu ya Kipindupindu tunaendelea kuitoa kwa wananchi kupitia vyombo vya habari kutokana na ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huu ambapo mwezi Augost kulikuwa na visa vitatu hadi leo Septemba 08 mwaka huu vimefikia visa 37 vya maambukizi ya ugonjwa huu…
26 August 2025, 9:35 am
Huduma ya chanjo ni kipaombele kikuu cha serikali ambapo chanjo hizo ni salama na zimethibitishwa na shirika la afya duniani (WHO)pamoja na wizara ya afya kupitia wakala wa chakula, dawa na vifaa tiba ,hivyo hakuna sababu ya kuhofia kupata chanjo…
31 July 2025, 10:50 am
“Akasema mama wawili nifungulie huku kwako nilale, mama wawili akasema we lala tu mbona hamna watu? Mama wawili yeye akalala Rasi kumbe kamtumia meseji… Wananchi wa mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni Mkoani Arusha wameeleza kugubikwa na hofu kufuatia matukio…
July 2, 2025, 2:13 am
Halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera imezindua zoezi la chanjo ya kuku, huku wataalam wa mifugo ngazi ya kata wakitakiwa kufanya kazi kwa uweledi na kwa muda uliopangwa. Na Anold Deogratias Wataalamu wa mifugo ngazi ya kata wataohusika katika…
1 July 2025, 9:59 pm
Makamo wa pili wa rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na shirikisho la walimu pamoja na wananchi katika ukumbi wa skuli ya Sekondari Utaani (picha na Ofisi ya makamo wa pili ) Katika kipindi cha miaka mitano, skuli mbali…
20 June 2025, 4:59 pm
Picha ya wakitembeza mwenge wa uhuru kwenye eneo la mradi wa hoteli ya kappa sense iliyopo pwani mchangani Wilaya ya kaskazini “A” Unguja. Picha na Juma Haji Juma. “Naagiza “taarifa zote za miradi zitunzwe ili ziweze kutumika baada ya mbio…
18 June 2025, 2:00 pm
Mkulima kijana kutoka Kijiji cha Mbangala, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Omari Said Jimajima (28), amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kuua wadudu aina ya Ninja, inayotumika kwenye mashamba, tukio lililotokea kwa huzuni kubwa na kuacha maswali kwa familia…