Dodoma FM

Ukatili

1 December 2025, 2:58 pm

Rutaraka aibuka mshindi kugombea uenyekiti Hai

Edmund Rutaraka amethibitisha nguvu zake wilayani Hai baada ya kushinda kwa kishindo uchaguzi wa ndani wa CCM, akipata kura 15 kati ya 23 na kurejeshwa rasmi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai. Na Elizabeth Mafie na…

2 October 2025, 6:09 pm

Wazee Missenyi waiomba serikali kuwalipia vipimo na matibabu

Imekuwa desturi kwa wazee kote nchini kulalamikia uduni wa huduma za afya kila inapofika Oktoba mosi na kuiomba serikali kuwapa unafuu wa maisha kwa kuwapatia penseheni na matibabu bila malipo. Na Respicius John, Missenyi, Kagera Wazee wilayani Missenyi mkoani Kagera…

23 September 2025, 4:46 pm

Wafanyakazi wa nyumbani wanakumbana na ukatili-ILO

Wafanyakazi wa nyumbani bado wanakumbwa na unyanyasaji kwa sababu kazi hiyo haieshimiwi kama kazi rasmi. Na Lilian Leopold.Kulingana na ripoti kutoka Shirika la Kazi Duniani (ILO), zaidi ya watu milioni moja wameajiriwa kama wafanyakazi wa nyumbani nchini na wengi wao…

September 10, 2025, 7:29 am

Kasulu Mji yazidi kukumbwa na kipindupindu

“Elimu ya Kipindupindu tunaendelea kuitoa kwa wananchi kupitia vyombo vya habari kutokana na ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huu ambapo mwezi Augost kulikuwa na visa vitatu hadi leo Septemba 08 mwaka huu vimefikia visa 37 vya maambukizi ya ugonjwa huu…

26 August 2025, 9:35 am

Wanahabari watakiwa kuelimisha umuhimu wa chanjo

Huduma ya chanjo ni kipaombele kikuu cha serikali ambapo chanjo hizo ni salama na zimethibitishwa na shirika la afya duniani (WHO)pamoja na wizara ya afya kupitia wakala wa chakula, dawa na vifaa tiba ,hivyo hakuna sababu ya kuhofia kupata chanjo…

31 July 2025, 10:50 am

Damu, mateso, kifo cha Masawe

“Akasema mama wawili nifungulie huku kwako nilale, mama wawili akasema we lala tu mbona hamna watu? Mama wawili yeye akalala Rasi kumbe kamtumia meseji… Wananchi wa mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni Mkoani Arusha wameeleza kugubikwa na hofu kufuatia matukio…

18 June 2025, 2:00 pm

Afariki baada ya kunywa sumu Ruangwa, mapenzi yatajwa

Mkulima kijana kutoka Kijiji cha Mbangala, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Omari Said Jimajima (28), amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kuua wadudu aina ya Ninja, inayotumika kwenye mashamba, tukio lililotokea kwa huzuni kubwa na kuacha maswali kwa familia…