Dodoma FM

Ngoma

7 August 2024, 6:47 pm

Maandalizi ya Ngoma ya mambala

Ngoma hii haiwezi kuchezwa kama mwanamke bado hajapata ujauzito. Na Yussuph Hassan. Yussuph amezungumza na mzee wa eneo hili la Kingale na hapa anaeleza maandalizi ya ngoma hii ya mambala inayochezwa na kabila la warangi hususani mama anapokuwa mjamzito na…

8 July 2023, 3:57 pm

Watu 8 hufariki kila mwezi kwa TB Geita

Ugonjwa wa kifua kikuu (TB) umeendelea kuwa tishio mkoani Geita kutokana na idadi ya watu wanaobainika kuwa na ugonjwa huo kwa mwaka pamoja na idadi ya watu wanaofariki dunia. Na Mrisho Sadick- Geita Watu wanane (8) wanafariki dunia kila mwezi…

6 July 2023, 11:42 am

Kata yenye wakazi zaidi ya elfu 60 haina kituo cha afya

Ukosefu wa huduma za afya za uhakika umewasukuma wananchi kuchangishana na kununua kiwanja chenye ukubwa wa zaidi ya hekari 10 nakuishinikiza serikali kuwajengea kituo cha afya. Na Mrisho Sadick: Zaidi ya wakazi elfu 60 wa kata ya Nyakafuru wilayani Mbogwe…

27 May 2023, 12:20 pm

Na Mrisho Sadick: Kufuatia Kampeni ya “TUMUWEZESHE” Iliyoratibiwa na Storm FM kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kuchangia taulo za kike hatimaye zoezi hilo limefanikiwa kwa kutembelea nakutoa taulo hizo kwa wanafunzi wa kike katika baadhi ya shule zilizopo katika Halmashauri…

21 March 2023, 5:39 pm

Dkt. Mollel azungumza na wataalamu wa Afya.

Na Pius Jayunga. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wataalamu wa Afya kutomchukia pindi anapofanya maamuzi ya kumtoa Mganga Mkuu wa Wilaya kwani hufanya hivyo kwa nia njema ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi. Dkt. Mollel ametoa…