Dodoma FM

Majengo

15 March 2024, 6:40 pm

Soko kuu Majengo lafanikiwa ukusanyaji taka.

Wananchi wanahimizwa kuendelea kuweka mazingira katika hali ya usafi huku wakitakiwa kufahamu kuwa kuweka takataka chini ni kosa kisheria. Na Mariam Kasawa.Soko Kuu la majengo jijini Dodoma limefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika zoezi la ukusanyaji yaka hali inayopelekea mazingira kuwa…

30 October 2023, 2:09 pm

Bahi Sokoni waanza utaratibu wa kusoma mapato na matumizi

kupitia  mkutano huo elimu mbalimbali zilitolewa ikiwemo suala la ukatili wa kijinsia. Na. Bernad Magawa. Kijiji cha Bahi Sokoni wilayani Bahi kimeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Bahi Zaina Mlawa alilolitoa  hivi karibuni…

16 February 2023, 2:44 pm

Mhe. Gondwe aagiza Bahi kuongeza Mapato

Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gongwe ameiagiza halmashauri ya wilaya ya Bahi kuhakikisha inabuni, kusimamia na kuongeza vyanzo vya mapato ili kutekeleza kikamilifu agizo la Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la kila wilaya kuhakikisha inakusanya mapato…