Dodoma FM

Kondoa

14 October 2025, 11:19 am

Wanasimba wazindua mnara wa kisasa Mpomvu

“Vilevile tunaendelea kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kwa kushirikiana na serikali ikiwemo sekta za Afya na elimu” – Katibu wa tawi la Simba Mpomvu Na: Edga Rwenduru Mashabiki na wanachama wa klabu ya Simba katika mtaa wa Mpomvu uliopo…

9 September 2025, 5:58 pm

Simba tawi la Mkolani yawakumbuka wagonjwa

Kitendo hicho ni mfano wa kuigwa katika jamii kwani tukio hilo limeleta faraja kwa wagonjwa na hamasa kwa watoa huduma. Na Mwandishi Wetu: Kuelekea tamasha la Simba Day siku ya kesho, Mashabiki wa Simba tawi la Mkolani Manispaa ya Geita wamefanya…

August 17, 2025, 4:32 pm

Wafuga nyuki Ushetu watakiwa kuwatumia wataalam

Ujenzi wa kituo hicho umegharimu kiasi cha shiringi milioni 84.8 Na Sebastian Mnakaya Wafugaji wa Nyuki katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwatumia wataalamu mbambili wa ufugaji wa nyuki ili kupata asili yenye ubora na yenye kuongeza…

28 May 2025, 6:52 pm

Siku ya hedhi duniani, huduma kwa mtoto wa kike zipoje?

Siku ya Hedhi Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Mei, ni jukwaa la kimataifa linalotumika kuongeza uelewa kuhusu hedhi kama hali ya kawaida ya kibaiolojia. Na Adelinus Banenwa Lengo kuu la maadhimisho haya ni kuondoa unyanyapaa unaozunguka hedhi, kuhamasisha…

27 May 2025, 12:42 pm

E-RITA unavyosaidia wananchi kupata cheti cha kuzaliwa

Serikali mkoani Manyara imesema mfumo wa E-RITA unamuwezesha mwananchi kujisajili kwa kiidigital na kurahisisha kupata cheti cha kuzaliwa kwa haraka tofauti na ilivyokuwa awali. Na Mzidalfa Zaid Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kujisajili kwenye mfumo E-Rita ambao utamuwezesha mwananchi kujisajili kwenye…

20 January 2025, 2:15 pm

Mzozo waibuka Geita baada ya Yanga kufurushwa klabu bingwa

Baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu ambao hawajafahamika majina yao katika halmashauri ya manispaa ya Geita wameingia katika ugomvi na majibizano kwa kile kilichodaiwa ni ushabiki wa timu zao za Simba na Yanga Na: Amon Mwakalobo – Geita Chanzo…