Dodoma FM

Kilimo

12 December 2025, 8:16 pm

Umuhimu wa klinik ya mtoto wakati wote

picha kwa msaada wa AI Na mwandishi wetu Evanda Barnaba Kuhudhuria maadhurio ya kliniki ya mtoto ni jambo la muhimu sana kwa mzazi, kwani ni fursa ya kipekee ya kufuatilia maendeleo ya afya ya mtoto wako. Kliniki inatoa nafasi ya…

December 7, 2025, 12:20 pm

Bodaboda Kigoma wagomea maandamano ya Desemba 9

Maafisa usafirishaji maalufu Bodaboda kutoka Wilaya mbalimbali mkoani Kigoma wapinga maandamano yaliyopangwa kufanyika Desemba 9, Serikali wilayani Kasulu yatia neno la msisistizo wa kutojihusisha na maandamano hayo. Na; Sharifat Shinji Maafisa Usafirishaji wa abiri malufu Bodaboda mkoani Kigoma wamesema hawatoshiriki…

26 October 2025, 09:28 am

Hospitali ya kanda yaibua furaha Mtwara

Wananchi wa Mtwara wameishukuru Serikali ya awamu ya Sita kwa kujenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, hatua iliyowapunguzia gharama na safari za kwenda Dar es Salaam kutafuta huduma za kibingwa, huku wakiiomba serikali kuendelea kuboresha huduma hizo kwa…

23 October 2025, 7:03 pm

Wakulima watakiwa kuongeza thamani zao la mpunga

Kwa kipindi kirefu wakulima katika bonde la kilombero wamekuwa wakiuza mpunga badala ya kuuza mchele kitu  ambacho haishauriwi kwani kufanya hivyo kunapunguza thamani ya zao hilo Na Kuruthumu Mkata Serikali kupitia Idara ya Kilimo Halmashauri ya Mji wa Ifakara imeendelea…

22 October 2025, 5:27 pm

Huduma ugani yawapa changamoto wakulima

Wakulima wa kijiji cha Mhelule, kata ya Mwaya wilayani Kilombero wamelalamikia ukosefu wa msaada wa karibu kutoka kwa maafisa ugani, wakisema hawafiki mashambani kubaini changamoto zao. Maafisa wanasema idadi yao haitoshi kuwafikia wote, hivyo wakulima wanapaswa kuwafuata Na: Isidory Mtunda…