Dodoma FM

Kilimo

26 May 2021, 1:15 pm

TARI watoa ushauri kilimo cha mihogo

Na; James Justine WATAALAMU kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), wamewashauri wakulima wa zao la muhogo kufuata ushauri wa kitaalam kwa ajili ya kupata mazao bora na yenye tija. Ushauri huo umetolewa na Mtafiti wa Mazao ya Mihogo…

2 March 2021, 1:41 pm

Wakulima Kondoa wanufaika na taarifa za hali ya hewa

Na, Benard Filbert, Dodoma. Imeelezwa kuwa baada ya Halmashauri ya Mji wa Kondoa kuunganishwa katika mfumo wa taarifa wa mamlaka ya hali ya hewa nchini imesaidia wakulima kuendesha shughuli zao kuendana na mabadiliko ya hali ya hewa. Hayo yameelezwa na…

25 January 2021, 8:59 am

Prof.Mkenda:Tunatilia mkazo uzalishaji mazao ya mafuta

Na,Alfred Bulaya, Dodoma. Serikali imesema inaweka nguvu kubwa katika uzalishaji wa mazao ya mafuta ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa mafuta inayotokea nchini na kupunguza kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi. Mkazo huo unawekwa kwa kuzingatia kwamba ni asilimia…

22 December 2020, 12:41 pm

Uhaba wa mbegu za maboga wapunguza matumizi

Na,Timotheo Chiume, Dodoma. Upatikanaji mdogo wa mbegu za maboga jijini Dodoma umezifanya kutotumiwa kwa wingi na watu wanaozihitaji kwa ajili ya chakula na lishe.Pamoja na changamoto hiyo uhitaji na watumiaji wanaongezeka kila siku kutokana na kutambua faida zitokanazo na mbegu…

14 December 2020, 2:56 pm

Utabiri wa hali ya hewa unavyosaidia wakulima Hombolo

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Utabiri wa hali ya hewa nchini umetajwa kuwasaidia wakulima katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi yanayojitokeza katika msimu wa Kilimo.Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wakulima katika kata ya Hombolo jijini Dodoma wamesema kuwa utabiri huo…

14 December 2020, 2:40 pm

Afisa kilimo:Acheni kukaa ofisini

Na Thadey Tesha, Dodoma. Wadau wa kilimo nchini wameshauriwa kuwa na mazoea ya kuwatembelea wakulima mara kwa mara kwa lengo la kuwapa elimu ili kuongeza kasi ya uzalishaji wa chakula nchini.Hayo yamesemwa na afisa kilimo wa Mkoa wa Dodoma Bw.Benard…

10 December 2020, 2:33 pm

Uhaba wa mbegu za mihogo wawakatisha tamaa wakulima

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Imeelezwa kuwa gharama kubwa za upatikanaji wa mbegu za zao la mihogo Mkoani Dodoma imechangia baadhi ya wakulima kukata tamaa kulima zao hilo.Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wakulima kutoka Hombolo Bwawani Mkoani Dodoma wamebainisha kuwa…