Dodoma FM
Dodoma FM
3 April 2025, 5:56 pm
Jeshi la Polisi mkoani Geita limeandaa mpango maalum wa kuendelea kutoa elimu kwa Jamii ili kuweza kukabiliana na vitendo vya uhalifu ikiwemo ukatili. Na: Paul William: Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Asteria Lunyilija (60) mkazi wa kijiji cha Bulela, kata…
27 March 2025, 1:58 pm
Na Omar Hassan. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kubaka watoto katika matukio mawili tofauti.Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu, Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamanda wa Polisi Mkoa…
20 March 2025, 6:03 pm
Serikali kupitia Wizara ya Maji imeendea na adhima yake ya kuhakikisha inamtua mwanamke ndoo kichwani kwakuhakikisha inasogeza kuduma ya maji kwa wananchi. Na,Alex Sayi-Maswa Simiyu Wananchi na wakazi wa kijiji cha Ipililo kata ya Ipililo wilayani Maswa Mkoani Simiyu wameishukuru…
20 March 2025, 1:23 pm
Baada ya Serikali kujenga Mradi na kuukadhi kwenu, Jukumu la kuulinda na Kuutunza ni lakwenu wananchi wenyewe , hivyo niwaomba wananchi wa Ipililo lindeni miundombinu ya Maji katika Mradi huu, asitokee mwananchi mmoja akaja kukata mabomba halafu nyie mnamuangalia tu.…
20 March 2025, 12:13 pm
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akifanyiwa vitendo vya ubakaji kwa zaidi ya mwezi mmoja na watu wawili akiwemo mwalimu wake. Na: Emmanuel Twimanye – Sengerema Jeshi la Polisi wilayani Sengerema…
18 March 2025, 20:07
Katika kuadhimisha wiki ya maji, Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mbeya UWSA imetoa ofa kwa wateja wake wenye malimbikizo ya ankara za maji kulipa nusu gharama na kisha kuwarejeshea huduma hiyo bure. Na Ezra Mwilwa Akitoa taarifa…
3 March 2025, 10:08
Katika kuadhimisha kilele cha siku ya mwanamke Duniani wanawake mkoani Mbeya watumia nafasi hiyo kuwatembelea wahitaji mbalimbli. Na Ezra Mwilwa Kuelekea siku ya mwanamke duniani Umoja wa kina mama mtaa wa Block D Ilomba wametembelea gereza la Ruanda upande wa…
19 February 2025, 10:45
Kaimu Mkuu wa Wilaya Kasulu Kanali Kanali Michael Ngayalina ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Buhigwe amesema bajeti iliyopishwa ikawe chachu ya kuchochea maendeleo kupitia miradi mbalimbali Na Hagai Ruyagila – Kasulu Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Mji Kasulu…
18 February 2025, 17:24
Mawadiwani katika halmashauri ya wilaya Kigoma wametakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kuongeza mapato ya halmashauri hiyo. Na Tryphone Odace Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Wilaya Kigoma limepitisha rasimu ya bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni 36 ambayo…
12 February 2025, 09:17
Serikali imesema itaendelea kuhakikisha inaimarisha sekta ya kilimo kwa kuweka miundombinu rafiki kwa wakulima ili kuhakikisha wanalima kilimo chenye tija. Na James Jovin Wakazi mkoani Kigoma wameishukuru serikali kwa kuendelea kuwekeza katika miradi ya ujenzi wa miundombinu wezeshi kwa ajili…