Dodoma FM
Dodoma FM
18 December 2025, 12:16 pm
Kilimo cha parachichi kimetajwa kuwa mkombozi kwa kuimarisha kipato cha vijana. Na Adelphina Kutika Serikali ya Mkoa wa Iringa imewahimiza vijana kuchangamkia fursa za kilimo cha parachichi kama njia ya kujipatia ajira, kipato na kuboresha maisha yao. Akizungumza wakati wa…
27 November 2025, 3:02 pm
Matukio ya watu kuuawa kwa kukatwa mapanga wilayani Sengerema yalidhibitiwa kwa muda mrefu, jambo lililowafanya wananchi kushituka baada ya tukio la hivi karibuni kutokea katika kata ya Sima Na,Emmanuel Twimanye Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Kajanja Mtebi (50) mkazi…
19 November 2025, 12:33
Mashamba darasa ni maeneo maalumu yanayotumika kufundishia na kuonesha mbinu mbalimbali za kilimo kwa vitendo na ni darasa wazi linalomuwezesha mkulima kujifunza kwa kuona na kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kilimo. Na Michael Mpunije Mkuu wa wilaya ya…
18 November 2025, 17:16
Wakulima katika Halmashauri ya Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kujikita katika kilimo cha kahawa ili waweze kujikwamua kiuchumi Na Emmanuel Kamangu Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma leo Jumanne Novemba 18, 2025, imetoa jumla ya miche 200,000 ya Kahawa…
17 November 2025, 15:32
Serikali katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu imewataka wakulima kutunza vizuri miche ya kahawa waliyopewa ili iweze kuwanufaisha na kuongeza kipato cha familia na Taifa kwa ujumla Na Hagai Ruyagila Zaidi ya miche Milioni 1.3 ya Kahawa imegawiwa kwa wakulima…
18 October 2025, 4:08 am
“Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia” – SACP Safia Jongo Na: Ester Mabula Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aitwae Martha Japhet (44) mkulima na mkazi wa kitongoji cha Mzalendo,…
14 October 2025, 08:04
kuelekea kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere mwakamu wa rais mgeni rasmi mkoani Mbeya. Na Ezra Mwilwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, ashiriki Ibada katika Kanisa Katoliki…
13 October 2025, 19:41
Serikali imeendelea kushirikiana na sekta binafsi na wewe jamii Kukabiliana na maafa. Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka wizara na taasisi za kisekta kutenga bajeti kwa ajili ya maafa huku sekta binafsi zikitakiwa kuwa na uwekezaji stahimilivu juu…
8 October 2025, 13:08
Serikali kupitia Idara ya Kilimo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imewataka wananchi kuhakikisha wanawekeza katika kilimo cha pamba ili kujiongezea kipato kwa familia na taifa kwa ujumla. Na Hagai Ruyagila Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwekeza nguvu katika kilimo…
27 September 2025, 6:30 pm
Na Wilson Makalla Matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kuendesha kesi yameendelea kuibua maoni mkoani Tabora ambapo wanasheria na wananchi wametoa maoni kuhusu nafasi ya Kiswahili kwenye mfumo wa kimahakama. Wakili wa Kujitegemea kutoka Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Akram…