Dodoma FM

Corona

4 November 2025, 5:04 pm

Maafisa usafirishaji Manyara walalamikia mafuta kuadimika

Maafisa usafirishaji  wilayani Babati mkoani Manyara wamelalamikia kuadimika kwa mafuta katika vituo vya kuuzia mafuta na kuiomba Serikali kuingilia kati suala hilo ili kurahisisha shughuli za uchumi kwa wananchi. Na Marino Kawishe Wakizungumza na fm Manyara wamesema, kituo kinachouza mafuta ni…

11 October 2025, 4:50 pm

Zaidi ya wananchi 1000 wajiunga na NSSF Katavi

Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF Katavi. Picha na Restuta Nyondo “Tunashukuru wajasiriamali tumefikiwa na sisi” Na Restuta Nyondo Zaidi ya  wananchi 1000 waliojiariji katika shughuli ndogo ndogo  za kiuchumi mkoani Katavi wamejiunga uanachana katika mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF…

23 August 2025, 8:40 pm

Miradi ya 1.8b yafikiwa na mwenge Bunda DC

Mwenge wa uhuru kitaifa 2025 uliingia mkoa wa Mara kupitia wilaya ya Bunda kwa halmashauri ya mji wa Bunda tarehe 15 Aug 2025 na kuzunguka katika halmashauri zote tisa za mkoa wa Mara na leo Aug 23,2025. Na Adelinus Banenwa…

17 February 2025, 2:49 pm

Mwenyekiti akemea mabalozi kuomba wananchi fedha ya utambulisho

“Wananchi wengi wanaogopa kujitambulisha kwa balozi sababu ya kuombwa elfu tano jambo ambalo halikubaliki katika mtaa wangu” – Mwenyekiti Na: Kale Chongela – Geita Serikali ya mtaa wa Mwatulole kata ya Buhalahala halmashauri ya manispaa ya Geita imewataka mabalozi wa mashina…

23 August 2022, 3:15 pm

MKUU WA WIKAYA YA MASWA ASWEGE KAMINYOGE AHESABIWA KATIKA ZOEZI L…

Mkuu  wa   Wilaya  ya   Maswa   Mh   Aswege   Kaminyoge   ameshiriki   Kuhesabiwa   katika   zoezi   la   Sensa   ya   Watu  na  Makazi   Mapema   hii   leo.. Mh Kaminyoge   amehesabiwa   nyumbani   kwake   Kitongoji   cha   Mwantoja  kata  ya   Nyalikungu  Wilayani   Maswa… Aidha   Mh   Kaminyoge   ametoa wito kwa …