Dodoma FM

Biashara

August 9, 2025, 11:44 am

Wafanyabiashara walia ujenzi wa soko Mnadani

Wamezitaja changamoto zingine kuwa ni vumbi pamoja na jua kali wanalokumbana nalo kutoka na soko la Mnadani kutokamilika ujenzi wake hali inayowalazimu kufanyia kazi hiyo nje ya majengo. Na Emily Adam Wafanyabiashara wa mahindi na maharage rejareja katika soko la…

August 7, 2025, 7:19 pm

Maziwa ya mama ni afya na ustawi wa mtoto

‘‘Mtoto anatakiwa kujisikia huru na salama wakati wa unyonyeshaji kwa kupewa ushirikiano na sio mama unanyonyesha huku unachati mtandaoni unasahau zoezi la kumnyonyesha Mtoto” Grace martin Afisa lishe mkoa wa Mara Na Amos Marwa Jamii mkoa wa Mara imeaswa kutengeneza…

4 August 2025, 11:27 pm

Kaspar Mmuya ashinda kwa kishindo kura za Maoni Ruangwa

Mgombea wa Ubunge CCM, Kaspar Kaspar Mmuya, ameibuka kidedea katika kura za maoni jimbo la Ruangwa, akijizolea kura 5,966 kati ya kura halali 9,547, leo Agosti 4. Mmuya amewashinda wapinzani wake watatu kwa mbali ikiwa ni Ushindi huu unaimarisha nafasi ya Mmuya kupeperusha bendera ya…

August 4, 2025, 6:54 pm

Wasimamizi waonywa dhidi ya upendeleo wa kisiasa

Wasimamizi wanatakiwa kufuata sheria, taratibu na miongozo ya Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushirikisha vyama vyote vya siasa vyenye usajili kamili katika hatua zote kuepuka migogoro Na Shafiru Athuman- Muleba, Kagera Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata Wilayani Muleba Mkoani…

July 31, 2025, 2:54 pm

Kliniki ya usajili wa vituo vya watoto yafanyika Arusha

‎Kutokana na ongezeko kubwa la vituo vya kulelea watoto wadogo mchana yaani (day care) katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha huku baadhi ya vituo vingi vikiwa havijasajiliwa nakupelekea serikali chini ya wizara ya maendeleo ya jamii jinsia ,wanawake na…

29 July 2025, 7:27 pm

Ole Shangai ashukuru kwa miaka minne ya heshima Ngorongoro

Chama cha mapinduzi (CCM) kinaendelea na mchakato was kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu utakofanyika oktoba mwaka huu 2025 ambapo kwasasa chama hicho kipo katika mchakato wa kuwapata wagombea nafasi ya ubunge. Na Edward Shao Leo, tarehe 28…

28 July 2025, 17:15

Watoto 47 wafanyiwa ukatili ndani ya miezi 3 Kigoma

Waziri wa Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Doroth Gwajima amezindua kampeni ya kutokomeza ukatili kwa wanawake na watoto na kuwataka  viongozi wa mikoa nchini kuwachukulia hatua za kisheria wagaga wa jadi ambao wamekuwa wakipiga ramli zinazochochea…

July 25, 2025, 8:08 am

Bilioni 19 kujenga stendi mpya Manyara

Picha ya mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga akiongea wakati wa kusaini mkataba wa ujenzi wa stendi ya mabasi Manyara Ujenzi utakaogharimu shilingi za kitanzania takribani bilioni 19, utasaidia kukuza uchumi kutokana na fursa mbalimbali za kibiashara zitakazojitokeza. Na…

14 July 2025, 5:29 pm

Mafunzo ya uongozi, tabianchi yawapa ari mpya wanawake Pemba

Na Is-haka Mohammed. Viongozi wa wakulima wanawake katika kilimo Msitu na Mikoko Pemba (TOT) wametakiwa kuvitumia vyombo vya habari kueleza kazi wanazoendelea nazo ikiwemo mafanikio na Changamoto wanazokumbana nazo katika harakati zao za kilimo hicho.Wito huo umetolewa na Mkuu wa…