Radio Tadio

Wazee

9 Januari 2026, 11:53

Mikopo ya 10% ilivyoinua maisha ya wananchi Kigoma

Mikopo ni nyenzo muhimu ya kuwawezesha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu katika kujenga maisha bora na kuchangia maendeleo endelevu. Na Orida Sayon Baadhi ya wananchi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji hasa vijana wameomba kuendelea kupewa elimu ya mikopo ya…

4 Januari 2026, 12:45 um

Ni lini MV Kilambo itarejea?

Wananchi wa Kilambo na maeneo ya mpakani na Msumbiji wanaiomba Serikali kurejesha kivuko cha MV Kilambo kilichosimama kufanya kazi, Serikali imesema matengenezo yanaendelea Na Musa Mtepa Wananchi na watumiaji wa kivuko cha Kilambo kinachounganisha Tanzania na nchi jirani ya Msumbiji…

24 Disemba 2025, 09:12

Pikipiki 6 zakabidhiwa kwa wajasiriamali Kigoma

Serikali imesema itaendelea kutoa mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu huku ikisisitiza waliopata mkopo kuzitumia kwa manufaa na kurejesha kwa wakati Na mwandishi wetu Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, imekabidhi pikipiki sita kwa vikundi viwili…

Novemba 20, 2025, 3:02 um

Muziki wawaongezea utulivu Ng’ombe wakati wa kukamuliwa

Asajile amekuwa akiwasoma Ng’ombe wake tabia hii humsaidia kupata maziwa kwa wingi zaidi Na Anyisile Fredy MKAZI na mfugaji wa ng’ombe  wa maziwa mjini Vwawa Mbozi Mkoani Songwe, Mikaya Asajile amesema  amewagundua  ng’ombe wake kwamba wanapenda muziki wakati wa kukamuliwa.…

23 Oktoba 2025, 4:21 um

Ole Lekisongo: Kabila la kimasai ni jeshi la jamii

Na Evanda Barnaba Laigwanani Mkuu wa Jamii ya Wamasai, Ndugu Isack Ole Lekisongo, ameongoza uzinduzi rasmi wa shughuli za jando kwa rika jipya la Irmegoliki, ikiashiria mwanzo wa msimu wa 2025-2032 wa sherehe za mila. Sherehe hizo za kihistoria zilifanyika…

25 Septemba 2025, 15:46

Zaidi ya milioni 555 zatolewa kwa vikundi 58 Kigoma

Serikali imesema itaendelea kuweka mikakakti ya kuwawezesha wanafaika wa mikopo ya asilimia kumi ili waweze kujiinua kiuchumi Na Sadick Kibwana Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt Rashid Chuachua, ametoa wito kwa wananchi zaidi ya 500 ambao ni wanufaika wa mikopo…

25 Agosti 2025, 1:01 um

Watoto watatu wafariki kwa kukosa hewa Busega

“Walezi/Wazazi tunalo jukumu kubwa la kuwalinda watoto wetu wakati wote bila kujali mazingira waliyopo ili kuwakinga na vitu vinyoweza kuzuilika maana watoto ni tunu ya taifa lijalo”.  Na,Anitha Balingilaki  Watoto  watatu wa  kutoka kwenye  familia tatu wawili wakiwa wa kitongoji…

14 Julai 2025, 22:16 um

Wananchi waililia serikali urejeshwaji wa Mv Kilambo

Wananchi wa Kilambo, Mtwara, wameiomba serikali kurejesha feri ya MV Kilambo ili kuondoa adha ya usafiri, gharama kubwa na hatari ya kutumia viboti vidogo kuvuka mpaka kuelekea Msumbiji Na Musa Mtepa Baadhi ya wananchi na watumiaji wa kivuko cha Kilambo…

10 Julai 2025, 11:50

Simbeye: Wenye ulemavu changamkieni fursa za mikopo

Serikali imeahidi kuendelea kutoa mikopo kwa makundi ya watu wenye ulemavu, vijana na wanawake wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Na Hagai Ruyagila Watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma, wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo ya asilimia kumi…