Wanawake
25 December 2024, 13:06
Waumini watakiwa kutenda mema na kuacha uovu
Sherehe ya Kristmas kwa mkiristo ni kiashiria cha kukumbuka upendo wa Mungu kwa mwanadamu kwa ujio wa Yesu Kristo mkombozi wa ulimwengu. Na Hobokela Lwinga Wakristo duniani wametakiwa kutenda mema ili kuwa kielelezo kuonyesha kwamba ni wafuasi wa Mungu hali…
25 December 2024, 12:44
Waumini watakiwa kujifanyia tathimini katika kusherekea Christmas ikiwa ni pamoj…
Wakristo duniani kote wanasherekea sikukuu ya kuzaliwa Yesu Kristo ambapo katika mahubiri mbalimbali yamewakumbusha waumini kumrejea Mungu. Na Yuda Joseph Mwakalinga Waumini wa madhehebu mbalimbali nchini,wametakiwa kutumia maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo kama fursa ya kujitathmini kiroho na kuachilia…
1 April 2024, 15:19 pm
Wanaume kikwazo kwa wanawake kuwa viongozi – Makala
“Changamoto hizo ni kwa baadhi ya wanaume wenye tabia ya kuwakataza wake zao kushiriki masuala ya uongozi” Na Musa Mtepa Ni kipindi kinachoelezea changamoto zinazosababisha wanawake kutoshiriki kwa asilimia kubwa kwenye nafasi za kisiasa na uongozi . Kupitia kipindi hii…
19 January 2024, 13:04
Zaidi ya watoto 600 wafariki Januari hadi Desemba 2023 Kigoma
Zaidi ya watoto 600 wamefariki wakati wa kuzaliwa Mkoani Kigoma huku akina mama 76 wakipoteza maisha wakati wa kujifungua katika kipindi cha januari hadi disemba 2023. Josephine Kiravu anasimulia taarifa ifuatayo.
9 January 2024, 18:08
Madini yasababisha uhaba wa wanawake Chunya mkoani Mbeya
Na Hobokela Lwinga Wakati Takwimu sehemu Nyingi za Tanzania na Nchi nyingi za Afrika zikionyesha Wanawake kuwa wengi kuliko Wanaume Hali ni tofauti kwa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya ambapo imeripotiwa kuwa Wanawake ni Wachache kuliko Wanaume. Sababu za Wanawake…
13 December 2023, 12:37 pm
Nafasi ya mwanamke katika kutokomeza ukatili wa kijinsia-Kipindi
Na Mariam Juma
30 November 2023, 2:57 pm
TAMWA yahimizwa kuweka mkazo ajenda ya uhuru wa kujieleza
(TAMWA) tunaahidi kumuunga mkono kivitendo kwa sababu ni jukumu ambalo tumealianza tangu miaka 36 iliyopita. Na Alfred Bulahya. Chama cha wahandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kimetakiwa kuweka mkazo mkubwa katika uhuru wa kujieleza unaojumuisha sauti za wanawake ndani ya…
29 November 2023, 4:42 pm
Wanawake watakiwa kujikita katika nyanja za siasa
Maadhimisho hayo yamehitimishwa leo Nov 29 Jijini Dar es salaam . Naibu Waziri wa Habari Kundo Mathew amesema matamanio yake ni kuona wanawake wapo katika nyanja za kisiasa kama ilivyo kwa rais Dkt Samia Suluhu Hassan Ameyasema hayo Nov 28,…
8 November 2023, 5:22 pm
Fawe yawafikia wajasiriamali Kusini Unguja
Mafunzo hayo ni utekelezaji wa mradi wa kuwawezesha wanawake kiuchumi unaoendeshwa na FAWE ndani ya mkoa wa Kusini Unguja ambapo jumla ya wajasiriamali 723 wamefikiwa kati ya hao wanawake ni 671 na wanaume ni 53. Na. Ahmed Abdulla. Wajasiriamali kutoka…
6 October 2023, 11:16 am
Wanawake wenye ualbino walalamikia kunyanyapaliwa kwenye mahusiano
Jamii mkoani Tabora imeaswa kuondoa dhana potofu dhidi ya wanawake wenye ualbino pindi wanapohitaji kuingia kwenye ndoa. Zaituni Juma ametuandalia taarifa zaidi baada ya kuwatembelea baadhi ya wanawake na viongozi wa chama cha watu wenye ualbino TAS – Tabora