Radio Tadio

Ujasiriamali

15 September 2025, 12:39 pm

Wanafunzi Geita watembelea wanyamapori Chato

“Tunawashuru walimu kwa kutuandalia safari hii kwani imekuwa yenye tija kwetu katika kufahamu tabia za wanyama” – Mwanafunzi Na: Kale Chongela Wanafunzi wa shule ya msingi Mkoani iliyopo kata ya Kalangalala, halmashauri ya manispaa ya Geita wametembelea shamba la wanyama…

30 August 2025, 6:00 pm

Serikali yatoa hekta 5,000 za hifadhi kwa wananchi Bukombe

Hakuna wananchi wenye uhaba wa maeneo na makazi katika kitongoji cha Idosero baada ya serikali kutoa hekta zaidi ya 5,000. Na Mrisho Sadick: Serikali imetenga zaidi ya hekta 5,600 kutoka maeneo ya hifadhi na kuwagawia wananchi wa Kitongoji cha Idosero…

21 November 2023, 8:33 pm

Machinga Katavi walia na kampuni za utoaji mikopo isiyozingatia sheria

Picha na Mtandao Baadhi ya kampuni hizo zinatoa mikopo kwa kutofuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria. Na John Benjamini-Katavi Wafanyabiashara wadogo [machinga]  mkoa wa Katavi wameiomba serikali kuzifuatilia kampuni ambazo zinajihusisha na utoaji wa mikopo kwa wafanyabiashara kutokana na…

21 September 2023, 2:25 pm

Airpay Tanzania yaleta neema kwa wajasriamali Zanzibar

Na Mary Julius. Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhani Soraga  amesema ujio wa kampuni ya Airpay  Tanzania, Zanzibar itasaidia  serikali  kuwafikia wajasiriamali wadogo katika kupata fursa za mikopo na kutambulika. Soraga ameyasema hayo wakati akifungua…

18 August 2023, 10:18 am

Mafunzo ya ujasiriamali yahitimishwa Katavi

Kufuatia mafunzo ya ujasiriamali yaliyotolewa na Mpanda Radio fm kwa kushirikiana na Mkwawa Vocation Training Center washiriki wa mafunzo hayo wamekiri mafunzo hayo yatawainua kiuchumi. Wameyasema hayo mara baada ya kutamatika kwa mafunzo hayo Agosti 17, 2023 na kubainisha namna…

16 August 2023, 7:16 am

Wananchi Katavi Kunufaika na Elimu ya Ujasiriamali

Wananchi Mkoani Katavi waanza kunufaika na mafunzo ya Ujasiriamali yanayoendeshwa na Mpanda Radio FM kwa kushirikiana na Mkwawa Vocational Training Center, Mafunzo hayo yatatolewa Kwa siku tatu kuanzia August 15 Hadi August 17. #mpandaradiofm.97.0

16 June 2023, 2:53 pm

Uboreshaji miundombinu Bahi wawakomboa mama lishe

Uwepo wa miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu ya elimu na afya wilayani Bahi  umeongeza fursa ya vijana na akina mama ambao baadhi yao wameshiriki moja kwa moja katika kazi za ujenzi, na  wengine kuuza vifaa vya ujenzi katika miradi…

2 May 2023, 12:21 pm

Wanachama wa WAUVI waanza uzalishaji wa bidhaa

Mafunzo hayo yamekuwa yakiratibiwa na shirika la kuhudumia viwanda vidogo sido mkoa wa Dodoma. Na Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa asilimia 80 ya wanachama wa Taasisi ya wanawake na Uchumi wa Viwanda wilaya ya Dodoma Mjini WAUVI wameanza kufanya uzalishaji wa…

27 April 2023, 8:19 am

Wananchi 53 Mpanda Wanufaika na Mafunzo ya Ujasiriamali

MPANDA Jumla ya wananchi 53 manispaa ya Mpanda mkoani katavi ikiwamo wanawake pamoja na vijana wamenufaika na mafunzo ya ujasiliamali yaliyowezeshwa na Diwani wa viti maalumu kata ya majengo kupitia chama cha mapinduzi CCM lengo likiwa ni kuwapa ujuzi na…