Uchumi
17 September 2022, 7:24 am
Maafisa Forodha Na Wasimamizi Wa Sheria Mipakani Wapewa Kibarua
SERIKALI imewataka maafisa forodha na wasimamizi wa sheria mipakani kuendelea na usimamizi na udhibiti wa kemikali zinazodhibitiwa kwa kuzingatia ukomo wa matumizi wa kemikali hizo. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt.Switbert Mkama wakati akifungua…
17 September 2022, 7:21 am
Bungeni: Wenye malimbikizo ya madeni ‘walegezewa kamba na TRA’
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inaendelea kujadiliana na wafanyabiashara wenye malimbikizo ya kodi, ili kuwapa unafuu wa malipo kwa awamu bila kuathiri mwenendo na uendeshaji wa biashara zao. Chande ameyasema…
16 September 2022, 11:10 am
TRA YATOA ELIMU KWA WAFANYA BIASHARA WILAYANI MASWA JUU YA ULIPAJI KOD…
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amesema kuwa Wananchi wanatakiwa kuwa Wazalendo kwa Kulipa Kodi ya Serikali kwa Maendeleo ya Taifa. Mh Kaminyoge ametoa wito huo kwenye kikao kati ya Wafanyabiashara wilayani hapo na Maafisa wa Mamlaka …
6 August 2022, 7:44 pm
DC MASWA AOKOA ZAIDI YA LITA 30,000 ZA MAFUTA YA DIESELI ZILIZOTAKA …
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge ameliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwakamata watu wote waliofanya hujuma za kutaka kuiba Mafuta aina ya Dieseli katika kituo cha Malampaka ambapo Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR Unaendelea. Mh …
12 January 2022, 7:01 pm
Mikutano ya kisheria husaidia kutatua migogoro ya wananchi
Na,Rosemary Bundala Mikutano ya kisheria katika halmashauri za vijiji imetajwa kuwa njia mojawapo ya kutatua matatizo pamoja na migogoro kwa wananchi Hayo yamezungumzwa na wanachi wa wilaya ya uvinza mkoani Kigoma Bwana VICENT LAZARO na Bi MWAMINI JUMA wakati wakizungumza…
15 November 2021, 3:02 pm
COP 26: Hatua za muhimu bado Vitendawili.
Kuanzia October 31 hadi Novemba 13 mwaka huuu Viongozi mbalimbali wamekutana nchini Scotland Kushiriki katika Mkutano unaofahamika kwa jina COP ikiwa mwaka huu ni COP26. Tanzania ikiwakilishwa na VIONGOZI mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
August 18, 2021, 8:51 pm
wilaya ya Kahama imeombwa kuangalia upya utaratibu katika zuio la uuzwaji wa nis…
Madiwani wa Halmashauri ya ushetu wilayani Kahama mkoani shinyanga wameiomba halmashauri hiyo kuangalia upya utaratibu katika zuio la uuzwaji wa nishati ya mafuta majumbani kutokana na kuwa na vituo vichache katika halmashauri hiyo yenye kata 20. Wakizungumza katika mkutano wa…
28 June 2021, 15:44 pm
Ukidhulumiwa Ardhi, fuata utaratibu
Na Karim Faida Wananchi wametakiwa kuwatumia watu sahihi pale panapotokea migogoro ya ardhi ili kupata majibu sahihi hatua ambayo itasaidia kuondokana na migogoro inayopelekea kurudisha nyuma maendeleo ya mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa na Wakili Amani…
25 March 2021, 1:30 pm
Viongozi mbalimbali, wasanii Watoa heshima zao Mwisho
Na; Mariam Kasawa. viongozi, wasanii na maelfu ya wananchi wametoa heshima zao za mwisho kwa hayati Dkt. Magufuli kijijini chato mkoani geita Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa na Makamu wapili wa Rais wa serikali…