Sheria
3 March 2023, 10:42 am
JKT yatarajia kuadhimisha miaka 60 ya kuasisiwa kwake
Madhimisho hayo ya miaka 60 ya kuasisi kwa Jeshi la Kujenga Taifa Jkt Tanzania yatafanyika uwanja wa jamhuri jijini Dodoma ambapo yamebeba kauli mbiu isemayo Malezi ya Vijana ,uzalishaji mali na Ulinzi kwa ustawi wa Taifa. Na Seleman Kodima Jeshi…
21 February 2023, 11:24 am
Vishoka,Wafanyakazi TRA Watiwa Mbaroni
Hii ni baada ya kupokea taarifa na kuunda timu ya upelelezi ambayo ndiyo imefanikisha kuwakamata watuhumiwa hao ambao wamekuwa wakishirikiana na watumishi wa TRA. Na Hawa Mohammed. Jeshi la polisi mkoa wa Iringa linawashikilia watu watano wakiwemo watumishi wawili wa…
20 February 2023, 2:08 pm
LATRA yafafanua usafirishaji wa mizigo ya Abiria
Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kwa mujibu wa kanuni ya 37 ni wajibu wa msafirishaji wa gari la abiria kumsafirishia abiria mzigo wake bure kama hauzidi kilo 20. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri Ardhini…
9 February 2023, 4:57 pm
18 Mbaroni Kwa Wizi wa Mafuta
Hii ni baada ya oparesheni iliyofanywa na jeshi la polisi mkoani Iringa kuanzia Jan 29 hadi Feb 5 mwaka huu Na Hawa Mohammed. Mafuta hayo, mipira 21 ya kunyonyea mafuta kwenye Malori, mapipa nane na chujio sita . Jeshi la…
2 February 2023, 2:12 pm
Migogoro ya ardhi wilayani Kilosa sasa basi
Kutokujua sheria kwa wananchi imeelezwa ndio chanzo cha migogoro ya ardhi ya kudumu katika wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro ambayo huchochea migogoro ya wakulima na wafugaji hali inayochangia punguza ukuaji wa shughuli za kiuchumi. Na Asha Madohola Halmashauri Ya Wilaya…
2 February 2023, 1:19 pm
TAKUKURU Yaendelea kupiga vita rushwa ya ngono
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru imesema inaendelea kupiga vita rushwa ya ngono kwani inadhalilisha utu wa Mtu. Na Mindi Joseph Changamoto ya rushwa ya ngono imekuwa ikiongezeka siku hadi siku kutokana na ukimya dhidi ya vitendo hivyo…
2 February 2023, 10:20 AM
Katibu Tawala Masasi akemea tabia ya kuoana na kuachana baada ya muda mfupi
30 January 2023, 7:32 am
Kushindwa kumtunza mtoto ni kosa kisheria
Ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya sheria nchini, Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, imeendela na utaratibu wa kupita katika tarafa za wilaya hiyo ili kutoa elimu ya masula ya kisheria kwa wananchi. Akizungumza na wananchi wa…
25 January 2022, 4:27 pm
Serikali imesema inatambua mchango unaofanywa na vijana wajasiriamali
Na; FRED CHETI. Serikali imesema kuwa inatambua mchango unaofanywa na kundi la vijana wajasiriamali wadogo maarufu kama Machinga katika kukuza uchumi wa nchi huku ikiahidi kutoa ushirikiano wa dhati kwa kundi hilo. Kaulu hiyo imetolewa leo na Rais wa Jamhuri…